Makene JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,475 Reaction score 282 Jan 23, 2013 #21 M2k2 wa kitaa said: hilo c la kuxema pigia mstari Click to expand... Wewe ni 'great sinker'
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,361 Jan 23, 2013 #22 Mbuzi mzee kwere yaani mpaka unakutwa maana kufumaniwa ni mpaka uwe ndoani sasa sijui mbuzi mzee ameoa au vipi?
Mbuzi mzee kwere yaani mpaka unakutwa maana kufumaniwa ni mpaka uwe ndoani sasa sijui mbuzi mzee ameoa au vipi?
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,277 Reaction score 9,020 Jan 23, 2013 #23 Sasa hiyo ndoo ya maji inafanya nini humo??? Doh, waswahili tuna vituko!!
S simchimba Member Joined Jan 20, 2013 Posts 19 Reaction score 0 Jan 23, 2013 #24 Zogwale said: Mwanaume hapo hayupo imekuwaje? Daha mwanamke limempata hili!! Halafu lina minyama uzembe na wala si lizuri sijui huyu mume wa pendo alivutiwa na nini? Kweli kila mwanaume ana kinachompa uchizi!! Hapa mimi chaji haikamati kabisa. Click to expand... ni kwel mkuu maana kuna mamen wengne wanabaka hata wale ambao hawana akil timu kwahivyo atuwez fahamu labda msela kapendea mwili mkate
Zogwale said: Mwanaume hapo hayupo imekuwaje? Daha mwanamke limempata hili!! Halafu lina minyama uzembe na wala si lizuri sijui huyu mume wa pendo alivutiwa na nini? Kweli kila mwanaume ana kinachompa uchizi!! Hapa mimi chaji haikamati kabisa. Click to expand... ni kwel mkuu maana kuna mamen wengne wanabaka hata wale ambao hawana akil timu kwahivyo atuwez fahamu labda msela kapendea mwili mkate
afrique JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 509 Reaction score 136 Jan 24, 2013 #25 Mwanahisa said: Sasa mbona Mbuzi Mzee, alikua hajachojoa hata shati wakati mzazi mwenzie yuko full network? Click to expand... hapo na mimi sijaelewa
Mwanahisa said: Sasa mbona Mbuzi Mzee, alikua hajachojoa hata shati wakati mzazi mwenzie yuko full network? Click to expand... hapo na mimi sijaelewa