Fumanizi la mama mwenye nyumba

Comrade tengeneza tamthilia ya muendelezo (series) tafuta na director, hii ni fursa... siku hizi Africa magic swahili kuna tamthilia kedekede zinazovutia za kibongo... Hii inaweza ikawa ni mojawapo au ikawa nzuri zaidi, imejaa mafunzo na burudisho la aina yake.

Nashauri Usiendelee na hicho kisa cha "Mwahija" bali uunganishe na kisa cha kwanza utengeneze tamthilia, hawa waliomo humu watakuwa wafuatiliaji, watazamaji na mashabiki wako wakuu wa kuanza nao.
 
Dah! Hiyo ya mwahija itakua na heading gani
View attachment 2422495
 
Tatizo la bongo movie sio script, Bali ni budget. Hiyo ndio inaharibu movie
 
Kwa Mwahija nitarudi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Noma na nusu mzee! Ila pale kati kale katoto kamezima nahisi hata mishipa ya genye ilisinyaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Noma na nusu mzee! Ila pale kati kale katoto kamezima nahisi hata mishipa ya genye ilisinyaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Moyo ulikuwa unadunda hadi nikawa nahisi mtu akipita nje anaweza kuusikia. Nilikuwa natoka jasho balaa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Unganisha hapa hapa nime subscribe kabisa siku hizi naingia jf kwa kunusa ili ukiendelea niukute hapa
[emoji28][emoji28][emoji28] usiwe hivyo mrembo. Ila nitakutag ikianza
 
Moyo ulikuwa unadunda hadi nikawa nahisi mtu akipita nje anaweza kuusikia. Nilikuwa natoka jasho balaa[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa wamama wenye nyumba haswa mishangazi kuna siku watatufanya vibaya, kuna mahala nilipanga zamani kidogo, mama mwenye nyumba alinipenda sana kiasi kwamba alikua anagombana na wapangaji wengine kwa sababu ndogo ndogo zilizokua zinanipa kero na akawaambia kabisa, atakae 7bbisha huyu kuhama atahama nae[emoji1787][emoji1787] mf, usafi alikua hataki kabisa kusikia nimehusishwa kwenye zamu za usafi na ishu ya umeme ilikua mtihani wapangaji kama sita mita moja inafikia mnanunua umeme wa mia5, usiku kucha mtu ana saga majuice, mwingine dobi ni kupasi mtindo mmoja alafu wanataka tuchangiane umeme sawa, ilikua kimbembe, yule mama akanihamishia kwenye mita yake[emoji23][emoji23] mumewe hana la kusema yupo kama mdoli jioni nikirudi ni tungi tuu mimi na bimkubwa kibarazani, mumewe hanywi, siku ya siku mumewe kawahi kulala saa4 mapema sisi tunapombeka tu, kaja kushtuka saa 9 anatukuta hata akili hatuna mkewe hawezi kusimama na kajikojolea hafai[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] ulikua mziki, nikajichekecha mbio ndani nikamuacha wanaendelea na makelele na kukokotana. Utoto_ujana ni mtihani sana!
 
Haujala mzigo ?

Bora ulihama, mumewe angekuhisi vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…