FUMANIZI la AIBU!

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
MUME WA MTU SUMU...

Jamani msione watu wanaishi nyumba nzuri asubuhi kila mmoja anatoka na gari lake kwenda ofisini yanayoendelea humo ndani ni KUTA ndio zinayazuia.Jana lilitokea bonge moja la fumanizi hapa jijini Dar.......likikuwa kama ifuatavyo.
Mama aliyefumania akisimulia kwa jazba vile ilivyokuwa...anasema yeye na mumewe walikuwa na ugomvi na kawaida wakigombana yeye hurudi kwao kupumzika.Sasa ugomvi ulipotokea yeye akahamia chumba cha watoto akawa amelala kimyaa.Kumbe usiku mumewe karudi na mwanamke mwingine akaingia nae ndani kama kawa na aliporudi mkewe aliwaona ila akaamua kukaa kimyaa akasubiri kukuche.Kulipokucha jana asubuhi mama akahakikisha watoto wameenda shule ndio akaanzisha fumanizi.......
Huyu ni wifi wa mama mwenye mume akisimulia,wakati haya yakiendelea mume mtu kajifungia ndani kimyaaaaaaaaaaaa!!
Dada akilia kwa uchungu.........jamani kufumaniwa sio mchezo tena kwenye nyumba ya mtu!!!hivi mtu unajiaminije kwenda kwenye nyumba ya mtu anayoishi na mkewe na watoto,ni hamu au kutokuwa na akili???? Dada anasema mwanaume alimwambia mkewe ayupo kasafiri ndio akaingia ndani kujivinjari.Na yeye na huyo muwe wa mtu ni wapenzi wa muda mrefu tu.
Bidada akapigishwa saini aandike kwa maandishi kuwa kafumaniwa wapi kwa nani na aahidi hatarudia tena kwenda nyumba za watu.
Nguo ya ndani ikaokotwa......hawa wanawake wambea kinasa cha mwenzenu mwakibeba bila wasiwasi hahahahahahahahah
Dada akapigwa sachi
Akakutwa na hirizi tatu...na inasemekana siku hizi wanawake wengi wanaotembea na waume za watu wanaloga sana na huyu mama anasema mara nyingi wakigombana na mume wake anamwambia mke wangu nisaidie mie sijielewi kama nachanganyikiwa.....
Mama mzazi wa dada mwenye nyumba ndio alikuja kutuliza hili fumanizi kwa kumsihi mwanae ayaache yapite na asipigane amuache tu mgoni wake aende salama...haya mama beba vitu vyako uende.

Dada akitoka taratibu kwa aibu.
 
Bongooo weeee bongo darisalaam utalia lia lia eheeee bongo darisalaam kaa chonjo eheee bongo darisalaam utalia lia lia eheee bongo darisalaam
 
Good keep it up. What else, life is too short we need more and more fumanizi tufurahi and thats life. Not every thing that glitters is gold.
 
duh bongo mambo tambaraleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ilishawekwa hapa jamvini muda mrefu tayari. Jaribuni kuangalia kabla hamjaposti habari sio mnakurupuka tu.
 
Jamani ndoa hizi khatari sana, c wanawake c wanaume mambo yanakwenda mzaba mzaba kwenye watu kumi binadamu mmoja.
 
Good keep it up. What else, life is too short we need more and more fumanizi tufurahi and thats life. Not every thing that glitters is gold.
I wish na wewe zamu yako ingefika watu tuendelea kufurahia haya maisha mafupi!!!
 
MUME WA MTU SUMU...

Jamani msione watu wanaishi nyumba nzuri asubuhi kila mmoja anatoka na gari lake kwenda ofisini yanayoendelea humo ndani ni KUTA ndio zinayazuia.Jana lilitokea bonge moja la fumanizi hapa jijini Dar.......likikuwa kama ifuatavyo.
Mama aliyefumania akisimulia kwa jazba vile ilivyokuwa...anasema yeye na mumewe walikuwa na ugomvi na kawaida wakigombana yeye hurudi kwao kupumzika.Sasa ugomvi ulipotokea yeye akahamia chumba cha watoto akawa amelala kimyaa.Kumbe usiku mumewe karudi na mwanamke mwingine akaingia nae ndani kama kawa na aliporudi mkewe aliwaona ila akaamua kukaa kimyaa akasubiri kukuche.Kulipokucha jana asubuhi mama akahakikisha watoto wameenda shule ndio akaanzisha fumanizi.......
Huyu ni wifi wa mama mwenye mume akisimulia,wakati haya yakiendelea mume mtu kajifungia ndani kimyaaaaaaaaaaaa!!
Dada akilia kwa uchungu.........jamani kufumaniwa sio mchezo tena kwenye nyumba ya mtu!!!hivi mtu unajiaminije kwenda kwenye nyumba ya mtu anayoishi na mkewe na watoto,ni hamu au kutokuwa na akili???? Dada anasema mwanaume alimwambia mkewe ayupo kasafiri ndio akaingia ndani kujivinjari.Na yeye na huyo muwe wa mtu ni wapenzi wa muda mrefu tu.
Bidada akapigishwa saini aandike kwa maandishi kuwa kafumaniwa wapi kwa nani na aahidi hatarudia tena kwenda nyumba za watu.
Nguo ya ndani ikaokotwa......hawa wanawake wambea kinasa cha mwenzenu mwakibeba bila wasiwasi hahahahahahahahah
Dada akapigwa sachi
Akakutwa na hirizi tatu...na inasemekana siku hizi wanawake wengi wanaotembea na waume za watu wanaloga sana na huyu mama anasema mara nyingi wakigombana na mume wake anamwambia mke wangu nisaidie mie sijielewi kama nachanganyikiwa.....
Mama mzazi wa dada mwenye nyumba ndio alikuja kutuliza hili fumanizi kwa kumsihi mwanae ayaache yapite na asipigane amuache tu mgoni wake aende salama...haya mama beba vitu vyako uende.

Dada akitoka taratibu kwa aibu.

Namwonea huruma sana aliyefumania kwa kuwa hayo mahusiano ya mumewe na "mke mwenzake" hayawezi kwisha kirahisi kwa kuwa washazaa mtoto. Halafu kweli wewe na akili zako unamuona mme wako anaingia na mwanamke chumbani kwako wanalala, wanabanjuana eti asubuhi ndo unawakamata. Huo ni ujinga uliopiliza. Busara ilikuwa kuzuia kubanjuana. Wamekamata chupi ya mwanamke lakini hakuna kondomu iliyotumika maana yake watu hao wamekulana live. Jamani ukimwi unaua.
 
Unajua ile mithali inayosema siku za mwizi arobaini ni ya kweli kabisa, huyo dada hiyo ilikuwa kawaida yake, sasa kakolea hadi anakuja kulala chumba cha wanandoa? God is great, ameyaweka wazi na naamini uhusiano wao ndio mwisho kwani huyu dada atamshutumu mwanaume kwa kumdanganya kuwa amesafiri sasa kamuumbua kumbe alikuwepo!! kaumumbuka na mahirizi, waandishi wa habari basi ni aibu kubwa kwake, amejifunza vya wizi havina maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom