Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,029 Reaction score 59,684 Nov 5, 2011 Thread starter #21 mphamvu said: aminata vipi? Hii forum ya watanganyika ambao 80 percent ni wakulima wa jembe la mkono. Nyie ndo mnapenda maisha ya maigizo na kujifanya usafiri wenu ni pipa na pvt cars! Click to expand... mbona nimeshaa nza kukupenda ..nibadilishe majeshi nini nielekeze kwako....bora umwambie huyu sista do
mphamvu said: aminata vipi? Hii forum ya watanganyika ambao 80 percent ni wakulima wa jembe la mkono. Nyie ndo mnapenda maisha ya maigizo na kujifanya usafiri wenu ni pipa na pvt cars! Click to expand... mbona nimeshaa nza kukupenda ..nibadilishe majeshi nini nielekeze kwako....bora umwambie huyu sista do
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Nov 5, 2011 #22 Alie fumaniwa ni huyo mwanamke, mwanaume yeye kakutwa, mwanaume hafumaniwi jamani. Alafu mbona hili la kawaida tu huko uswazi, mi nilifikiri wamekutwa ki cameroon, kumbe kiafrica kabisa, mbona powa tu.
Alie fumaniwa ni huyo mwanamke, mwanaume yeye kakutwa, mwanaume hafumaniwi jamani. Alafu mbona hili la kawaida tu huko uswazi, mi nilifikiri wamekutwa ki cameroon, kumbe kiafrica kabisa, mbona powa tu.