Duh! Anaukika kama jamaa alikua hatambui huyo ke ni Mke wa watu?
Adabu na fundisho zuri lingepatikana kwa kuwahukumu wote!!
Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.
Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
Ndio tatizo letu hili adhabu ya pekee tunayoijua sie ni physica and abusive violence!!Hata kama kamfumania, hakutakiwa kumpiga, TGNP na TAMWA waingilie kati, unyanyasaji wa kijinsia huu.
Anaweza kufa kwa kipigo hiki, nani anajua kama hapata madhara makubwa ya ndani?
Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.
Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
asichinjwe tuu, hicho kipigo kinatosha. mke wa mtu sumu ila mume wa mtu ..........!
asichinjwe tuu, hicho kipigo kinatosha. mke wa mtu sumu ila mume wa mtu ..........!
Mcheka chongo, halizajampata!!
Hahahaha mpwa hiyo picha nimecheka sana jamaa kabeba begani kama anaenda kutengeneza supu na mpambe yupo nyuma
Hata kama kamfumania, hakutakiwa kumpiga, TGNP na TAMWA waingilie kati, unyanyasaji wa kijinsia huu.
Anaweza kufa kwa kipigo hiki, nani anajua kama hapata madhara makubwa ya ndani?