Fulsa za ajira

Fulsa za ajira

Hio ndio shida ya watu wasiojielewa kwnn mnahoji vtu visivyo vya msingi,,? Kama unaweza jib au hujaelewa nn hapo
kwa hiyo kukataa kurekebishwa ni kujielewa?

una safari ndefu sana ya kulekezwa hapa duniani kama unajifanya kujua kila kitu kua mbishi bila sababu ya msingi!
 
Naomba kuuliza ,hivi bs of architecture INA soko katika ajira?
Kama unaelewa vizuri michoro na unajua kuchora ni kozi nzuri kwako, ubunifu wako tu.

Vinginevyo, ukikosea jambo ukubali kukosolewa.
 
Back
Top Bottom