Full tutorial: Tengeneza Paypal na link na kadi yako ya benki

Paypal ni safe, secure, and reliable. Lakini kwenye password yako usitumie pass word unazozitumia say, JF, facebook, twitter, e-mail, etc. Kwa sababu wamiliki wa Jf kwa mfano wanaweza kuingia kwenye paypal yako na kufanya transactions.
 
Yap nimekupata mkuu hapo unaweka more secured pass ka 10 digits plus alphabert+nambaz
 
THIS SHOULD BE A STICKY THREAD....MODS PLEASE FANYENI HIVO....😛oa
 
Nashukuru sana nimesha register PayPal bahati nzuri Card yangu ya CRDB ni MasterCard na niliisha register kwa huduma za internet Banking,nimeshaanza na kununua Software online.

Mkuu Mkolon hebu funguka kidogo, mie natumia visa kadi na nimejiunga na huduma ya internet banking ya crdb, kwa maana hiyo naweza kujiregister paypal na kuanza kufanya manunuzi?

Mkuu chief-mkwawa, paypal watakuwa wananicharge monthly/annually kwa kuniwezesha kununua vitu online, au hadi hapo nitakapokuwa nafanya manunuzi tu? Je charges zinafanana worldwide?
 
Mkuu chief-mkwawa, mie mbona nilikuwa nafanya manunuzi ya domain, wakaniambia ingiza credit card number, halafu kwenye maelezo yao wakasema credit kadi namba inaweza kuwa ni ya credit card, visa card, master card n.k., lakini kila nikiweka card number ya crdb visa card wananiambia invalid! Inakuwaje?
 
ningependa kufahamu je,ukishanunua kitu online,kwa mfano,laptop au headphones huku bongo,UTAVIPATAJE,posta,au,unaletewa ulipo,inakuwaje?

Hapo ndo kazi kwelikweli! kazi yenyewe siyo nyingine bali ni GHARAMA ZA SHIPPING! Huwa ziko juu sana!!

Kuna option kama tatu hivi:

1. Kwa wenye hela wanaweza kununua bila tatizo kwa sababu wao gharama za shipping siyo ishu! Wao wanachofanya ni kuangalia ile item wanayotaka kwamba ni seller yupi anaship to Tanzania, the anabuy online

2. Unaweza kumtafuta mtu aliyeko huko (sometimes unaweza ukawa na jamaa yako kule) unakonunua mfano US au UK then WEWE UNASEARCH MWENYEWE ONLINE KILE KITU UNATAKA HALAFU UNAMTUMIA TU LINK, unamwomba anunue halafu akutumie kwa njia ya POSTA. Njia hii gharama hupungua sana. Uwe tayari kumlipa chochote yule anayekusaidia kununua kule nje kwani ataingia gharama za kwenda Posta na sometimes kama amenunua vifaa vingi atalazimika kuvipaki upya ili mzigo usonekane mkubwa sana

3. Njia ya tatu ni kununua software ambazo hizo hazihitaji shipping!
 

Siyo siri, miongoni mwa watu wanaofanya JF IWE NA MANUFAA NI HUYU MKUU...Chief Mkwawa!!!
 

hiyo card yako ni lazima iwe imewezeshwa kwanza na crdb kwa kujaza form maalum na kukubali mashart ya huduma hyo.
 

Kama ni Ebay kuna mahali pa kumuuliza seller swali na huwa wanakujibu. So ukiona item na kuna mambo hujaelewa just ask the seller!!
 

Ni kweli Mkuu na vilevile wengine huko huko US huwa wanakucharge gharama za kuship hata within the US


Na pia KUNA VITU HUKOHUKO EBAY WANSHIP FREE TO TANZANIA. Hivi viko Ebay lakini mostly vinatoka China au Hong Kong
 

Kwanza jua mpaka wakisema invalid ujue namba hazijatimia idadi yake na card no sio acount number ni zile namba nyingi ambazo zipo mbele ya card yako refer herufi b kwenye mchoro nliotoa wa visa card.

Then ndo mana nikashauri utumie paypal maana ukiingiza detail zote kwenye paypal utaingiza mara moja tu then purchase zote utakazofanya zitafanyika bila kuingiza detail yoyote zaidi ya user na pass ya paypal.

Na kuhusu makato ya mwezi paypal hawakati ni bureee
 
Wanakwambia Invalid kwasababu bank yako bado haijaiwezesha kadi yako kutambulika na kufanya kazi ya manunuzi online. Nenda bank na waeleze dhumuni lako na wataiwezesha kadi yako kupiga mzigo. Ila ni vizur ukajiunga na paypal then utakua safe zaidi kuliko kuexpose kila sehemu details zako za kadi.
 
Mkuu mi nadhani cha msingi ni kulinda password yako tu, lakini ukisema mtu akijua email uliyofungulia anaweza kukuibia ni kweli lakini pia kuificha iyo email isijulikane ni vigumu kama utataka na wewe watu wakulipe kupitia paypal. Kwenye API ya paypal unachotakiwa kuweka ni email yako, na mtu akibofya kibutton cha pay now with paypall inafunguka profile ya paypall ikiwa na email yako kwa pembeni. So cha msingi ni kulinda password yako
 
Hivi kuna charges nyingine Paypal zaidi ya registration fees na unapofanya sell/buy transaction?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…