Jamaa anakitu fulani ivi cha kipekeee kinachomfanya awe juu ya wenzake.Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....
Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
Mugalu ni mzuri kwenye kumiliki mpira..na second ball..Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....
Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
Duh,kwahiki kikosi haki ya Mungu haponi mtu.
Duh,kwahiki kikosi haki ya Mungu haponi mtu.
Zimepungua basi goli tatu.
Kocha ana strategy kali sana, ameweka miamba kati na wachochezi pembeni.Mkude hakupaswa kuanza . Angeanza Bwalya
Bwalya sio mzuri kwenye kukaba, Mkude kuanza ni sahihi kwa kuwa Mzamiru hajaanza. Kumbuka hii game ni Do or Die kwa kila Timu.Mkude hakupaswa kuanza . Angeanza Bwalya
Edit kwanza heading ndio nikwambie channelSwali linajieleza hapo juu
Kwa tulio mbali na Azam Nani mwingine anaonesha mechi ya Simba na Vita leo!