Full Time: Simba 3 -0 Tabora United. Machi 22, 2026

Full Time: Simba 3 -0 Tabora United. Machi 22, 2026

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
386
Reaction score
1,140
Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo
20260322_205701.jpg


Screenshot_20260322_210231_Instagram.jpg

IMG_20260322_205410_599.jpg


=====

Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na Yanga (inaongoza ligi, pointi 38 michezo 16) katika kuwania ubingwa.

Matokeo hayo yanaifanya Simba ambayo imefikisha michezo 14 kushika nafasi ya pili kwa kuwa na alama 29 wakati TRA United ambayo inamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaki nafasi ya 10 kati ya timu 16 ikiwa na pointi 20 katika mechi 16.
 
Daaah, Kabla ya mambo ya vpn hapa uzi huu ungefurika wachangiaji lakini siku hizi hali imekuwa mbaya mno.
Hata hivyo
Hongera sana Simba kwa ushindi mnono
 
Hivi hii timu ya TRA kwa sasa, haina connection yoyote na Rage?
 
Back
Top Bottom