Full Time: NBC PL | Singida BS 0-3 Young Africans | Airtel Stadium | 05/03/2026

Full Time: NBC PL | Singida BS 0-3 Young Africans | Airtel Stadium | 05/03/2026

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,725
Reaction score
13,746
Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars

Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2

Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello.

Chuma ya 3 😁 linawekwa na Mudathir

Singida wanafanya mabadiliko ya wachezaji wa tatu.

Dakika 56, Yanga wanafanya mabadiliko ya wachezaji 2

Dakika 76, Yanga wanafanya mabadiliko ya wachezaji 2

Dakika 80, Singida wanafanya mabadiliko ya mchezaji mmoja

Game finish Yanga anaondoka na alama 3 muhimu kabisa
 
Eng. Hersi bado hujachelewa, njoo uiombe radhi jamii ya mpira na hasa mashabiki wa Yanga.
 
Kwa huu uchezaji wa hii timu kuna kaarufu nakapata ka either kufungwa au ku draw moja wapo ya mechi 3 kuanzia leo

Huyu kocha aelezwe ukweli ili kupata ushindan miongoni mwa wachezaji anatakiwa afanye rotation, kina Yao. Boka, sure boy, shakhan wanafanya nn🚮🚮
 
Wachezaji wa Yanga wamepoteza ule mchezo wao wa kasi na pasi zenye macho, ni kama wamechoka sana.
Kocha kaishiwa mbinu, benchi lina kikosi kikubwa
 
Wachezaji wa Yanga wamepoteza ule mchezo wao wa kasi na pasi zenye macho, ni kama wamechoka sana.
Kocha kaishiwa mbinu, benchi lina kikosi kikubwa
Unajua wachezaji nao wamefunga mkuu.
 
Kama ligi yetu ndo ipo hivi na inashika nafasi sijui ya 6, basi Africa tunasafari ndefu sana, kuanzia ya 7 na kuendelea kutakuwa na madudu kupindukia.
 
Back
Top Bottom