Hii mechi si iliishachezwa?Mbungi itapigwa leo majira ya saa kumi kamili katika kiwanja cha KMC
Zinafutwa?Huu ni uzi wa 8 unaanzishwa unapotea
Uzi tayariMbungi itapigwa leo majira ya saa kumi kamili katika kiwanja cha KMC
Kwa vyovyote lazima Simba ishinde!!Natabiri leo kadi nyekundu itatangulia kabla ya penalty
mabingwa wa kukimbia mechi.mabingwa