Angalia hata kwenye chance created, utagundua ahly ndio katengeneza nyingi, hii inaonyesha ni kwa staili gani wako very objectivePira hili mara nyingi wanachezaga Barcelona anakuachia ucheze yeye anakutegea tu kwenye mikimbio
Exactly 💯Angalia hata kwenye chance created, utagundua ahly ndio katengeneza nyingi, hii inaonyesha ni kwa staili gani wako very objective
Ahly wanacheza kimkakatiAngalia hata kwenye chance created, utagundua ahly ndio katengeneza nyingi, hii inaonyesha ni kwa staili gani wako very objective
Ayende na Robeiro wote makopo tuAllende ni takataka max nzegeli wa Young Africans anamzodi mbali sana
Ni mchezaji mzuri sana,nadhani playing style ya al ahly ndio inamfanya asifanye yale ambayo umetegemea kuona akifanyaAyende ni takataka max nzegeli wa Young Africans anamzodi mbali sana
Naangalia mpira hapa kAl Ahly kazidiwa aisee tofauti na wengi walivyotaraji. Ngoja tuone pengine mambo yatabadilika.
Na akifunga hapo ndo ukichaa wa Al ahly utaamkaMamelody ana advantages ya kufunga goli la ugenini
Hilo goli la ugenini utakaa hapo unalisubiri hutaamini mpaka mpira unaisha hutaliona [emoji23][emoji23]Mamelody ana advantages ya kufunga goli la ugenini
Kwa hiyo Mamelody ni kama Uto...tu ?..😃😃Mamelody ana advantages ya kufunga goli la ugenini
Naam😎Kwa hiyo Mamelody ni kama Uto...tu ?..😃😃