Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Mimi haingii akilini kuwa umetaja majina ya watu waliochukua 3.3bilions lakini hutaki kutaja majina ya watu waliochukua 73Bilions .Je hiyo kamati una uchungu na Taifa hili???Au kuna mpango wa urais hapo???
Kuitaja familia ya Jakaya kama ndio wahusika wakuu wamekwepa. Wameparamia matawi wakaacha mzizi mkuu unaoyalisha hayo matawi.
 

Mazee, unaweza ukawa hata na mi PhD 10 kwenye fani tofauti lakini ikija kwenye common sense huna kitu!

Akili za darasani na busara za kawaida nilishagundua siku nyingi kuwa haziendani.
 
sugi said:
Hivi kuna tofauti gani kati ya mwizi, jizi, jambazi na fisadi! msaada tafadhali
Baada ya pesa kulainisha sura, utofauti unabaki mdogo sana. Hebu tazama hii picha hapa chini; ni vigumu kweli kuwatofautisha hawa watu! Angalia wote walivyokenua meno...pesa bwana!



​
 
Inasemekana historically cheo cha waziri mkuu wa Tz kiko pale kama shock absorber ya cheo cha Rais.
So ukiona mitikisiko kwa PM,ujue muhusika mwenyewe kapona,ndio maana wakati wa Richmond bwana mamvi aliwaambia "tatizo ni uwaziri mkuu".
 
hapa 2taixhia kuwajua wez 2 lakin uwezekano wakurudixha pexa ni mdogo xana na hapa bongo xheria haina meno kwa vigogo maana wanajuana hii nixawa na kesi ya ngedere halafu hakimu ni nyani unategemea ni nn kitatokea?

we dogo hili jukwaa sio la wasengerema kama wewe peleka mi x yako fb
 
"Mr Sethi and his son own 50 per cent of PAP, while the rest is owned by a company called Simba Trust that is said to be incorporated in Australia, according to investigations conducted by The Citizen."
Tulielezwa huko nyuma maneno hayo na tukaambiwa kuwa Simba Trust ni ya watoto wa JK nayo imo, mbona kwenye hii ripoti hakuna chochote kuhusu Simba Trust? Mwenye kujua atueleze!
 

Wajuzi wa mambo na wente details watakuja kutujuza!
 
Maelezo ya TANESCO ya mwezi march kuhusu sakata lote


Ukisoma public report ya Tanesco kuhusu haya maswala unaweza shangaa sana kwanini ripoti ya PAC imeegemea upande mmoja sana isitoshe Tanesco wenyewe wanakiri leo PAP amechukua shirika kwa sababu ya PAC ndio ilioshauri Tanesco wasimiliki mitambo ya IPTL katika mazingira yeyote maana leo ni wao wangekuwa wanamlipa VIP na kulipa deni la Standard charter na kuiweka IPTL mikononi mwao amazingi mtu huyo huyo aliewazuia nyuma leo anawaambia walichukue shirika kibabe.

Jumlisha na hii thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...utsmarted-the-government-of-tanzania-got.html ili kupata picha kamili ya sinema nzima from the beggining.

Mwisho tuwache uvivu maana hakuna sababu ya kuongelea kitu kama hujui especially utaratibu wa mikataba ya ubia ikoje kwenye Kampuni na remedies zinafunguliwa kwa misingi gani (ukipata picha hata kidogo) pangua matendo ya IPTL mwisho wa siku ni kwamba hakuna kitu hapo.

Hata huo mkokotowo mpya si madai waliofungua Tanesco wao wameletewa tu na wazungu na wao tunajua wanamaslahi yao kuvuruga order ilitolewa na jaji Utumwa. Mtu aliepotosha jana ni Deo filikunjombe kumshutumu Maselle bila ya kuwa na facts za kesi (sijapata kuona watu wanaoropoka ovyo kama viongozi watanzania) na ni wavivu hata wakufanya research za kutafuta uelewa kabla ya kutuhumu.

Asilimi kubwa ya hiyo ripoti ni majungu ikumbukwe hii si mara ya kwanza zitto kutaka kuona waziri mkuu anan'goka. Mtu mmoja labda wakuadhibiwa kutokana na makosa ya awali ni Andrew Chenge jamaa kapoteza uhalali wa kuwa kiongozi well may be na akina Yona.

Ushahidi wote huwa unapitia JF sema wakati mwengine huwa tunadharau vitu ambavyo baadae vinajitokeza including hii public ripoti ya Tanesco iliwahi letwa hapa na wako wazi ata wao si sahihi kuongelea hivi vitu bila ya kupata facts za mgogoro, the citizens lilipotosha habari kwa malengo yao, madai ya capacity charge ya Tanesco awakufungua wao, wenyewe pia wameshangaa. Kushabikia IPTL au maamuzi ya kimataifa ni kukubali kudhalilisha mahakama zetu.

Kilichobaki tusubiri copy ya ripoti ya CAG na PCCB labda watundu wa JF watashusha leo hili tuchanganye na zetu.
 

Kilaini kuvuta 80m KILAINI si mchezo sijui hata nikistaafu kama ntaimiliki hiyo hela
 
Published on 26 Nov 2014
Mh. Zitto Kabwe ametaja majina ya watu waliohusika katika mgao wa pesa za Escrow wakati akiwasilisha ripoti ya CAG.

VIDEO LIVE: Zitto Kabwe na Sakata la Escrow | BUNGE TBC1 Zitto Kabwe na Sakata la Escrow | BUNGE TBC1 - YouTube

Kwa hisani ya SIMU. TV ya YOUTUBE






BBC SWAHILI SERVICE VIDEO: ZITTO AKIHOJIWA NA BBC DIRA TV KUHUSU TEGETA ESCROW

Published on 26 Nov 2014

Kashfa ya TegetaEscrow inazidi kufukuta nchini Tanzania. Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo aliwasilisha ripoti ya uchunguzi katika bunge la nchi hiyo. Katika matangazo ya Dira ya Dunia TV, Zuhura Yunus alimhoji mbunge huyo kujua zaidi.

Video Mahojiano ya BBC SWAHILI SERVICE NA MH. ZITTO KABWE http://www.youtube.com/watch?v=zevl-EE36C0
 
Kama ilivyowahi kusemwa hapo mwanzo, tumbili kajulikana na mwizi kajulikana. Penye ukweli uongo hujitenga. Ukweli umejidhihirisha wenyewe!
 
Wewe katafute basha wa kukuchokonoa huko nyuma mpumbavu kabisa wewe ng'ombe kabisa.

Hehehe yaan Kuna watu WA kuwazika wakiwa hai god will understan mfano chenge huyu mfuuuu zake ametuibia m.bwa huyu
 
Baada ya pesa kulainisha sura, utofauti unabaki mdogo sana. Hebu tazama hii picha hapa chini; ni vigumu kweli kuwatofautisha hawa watu! Angalia wote walivyokenua meno...pesa bwana!



​

Ndo tabia ya wahindi kwa kutoa rushwa kubwa kubwa hata kwenye police.
 
Hahaha nawaza tuuu hata mapesa yote aliyogawa angeamua si angefanya biashara yake nzuri tuu indians are very corrupt
 

Attachments

  • 1417059155994.jpg
    32.9 KB · Views: 293
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…