Kama upo vizuri, tengeneza portfolio kwenye website, tengeneza mifano ya kazi zako na uonyeshe ujuzi wako, jitolee kazi za pesa ndogo kuonyesha skills ulizonazo.
Unajua kwa sababu gani developers wanatengeneza open source projects na apps za bure? kwa sababu inawasaidia wasiongee sana wanapokwenda kuomba kazi n.k utakuta projects nyingi sana huko github zipo free..
Mwisho usianze kwa kutanguliza pesa, onyesha skills, jiunge linkedin na jiunge kwenye freelance sites zipo nyingi sana, elezea skilss zako, ikiwezekana kwa kuanza fanya kazi hata za bure kadhaa au ujira mdogo kutengeneza reputation yako...
Tchaoo..