Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Nauza full set ya mziki aina ya fidek wenye mid 2,bass 2 za maana,pia una booster mbili za watts 2800 na 3200,american audio mixer,nyumark machine na vifaa vyake vengine..mziki una mwaka mmoja tokea ununuliwe hivyo bado mpya na hauna tatizo kabisa,ulinunuliwa dukani na sio wa kuchongeshwa mtaani...unafaa kwa kazi za ukumbini na mapromosheni,mteja ataonyeshwa then akiridhia biashara itafanyika...bei yake ni mil.11 lakini maongezi yapo,kwa atakayeitaji awasiliane nami kwa namba "0715455630" au "0754455630"...asanteni.