Full scholarship za UK wakuu changamkeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Full scholarship za UK wakuu changamkeni.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiny, Sep 10, 2012.

 1. K

  Kiny JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani waliokuwa wanatafuta scholarship za masters na PhD sio muda wa kuchelewa ingia www.moe.go.tz na hapo utapata web nyingine ya namna ya application kwa commonwealth's hawa jamaa walichukua chetu wakuu changamka anglau watugawie kidogo.
   
 2. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Barikiwa ndugu!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  be blessed
   
 4. K

  Kiny JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbarikiwe zaidi nyote mtakaoapply uenda mkarikomboa taifa hili lilojaa ufisadi naamini ktk mafanikio mtafanikiwa maana kule hakuna longolongo kama una sifa zote hakuna uchawi wala ndumba.
   
Loading...