Mkuu, nimebadilisha aina ya simu ndiyo nimepata kusoma maujanja uliyotuma, baadhi ya simu zinafungua ujumbe nusu.[h=3]FULL MAUJANJA NJIA ZA KUEPEKA USUMBUFU WA SIMU JARIBU SASA[/h]
Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok. Ukitaka kutoa ##002#ok.
Sim itakua haipatikani pindi mtu atakapo kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia kwa mda huo huo. ACHA COMMMET YAKO MUHIMU...
hichi ndo alicho andikaMbona sion kitu mkuu.
FULL MAUJANJA NJIA ZA KUEPEKA USUMBUFU WA SIMU JARIBU SASA