FULL DEAL: Umeelewa Kauli ya Mwanasheria Mkuu, Kumkamata Mange Kimambi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,377
Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.

Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.

Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi cha kutamka mbele ya camera.

2. Wakati Marekani inaangalia upya mfumo wake wa kimuingiliano na mataifa mengi ikiwemo Tanzania hilo linaongeza ugumu.

3. Kura kwa urefu wa kamba...
Point hii ni moja ya sababu kuandika huu uzi, kwa sababu kila kiongozi anaangalia eneo ambalo anaweza kupiga pesa.

Kupitia hii "TUTAMKAMATA" kuna uwezekano mkubwa sana ofisi hiyo kutumia rasilimali fedha nyingi ikiwa na kigezo cha kumtafuta na kumuweka mtegoni huyo binti.

Hivyo serikali itawekeza mali/pesa kwa njia yoyote ili kumnasa huyo binti, kitu ambacho baadaye tukiwa hai tutakuja kuanzisha mada nyingi sana hapa JF kushutumu ulaji wa fedha kwa kigezo cha Mange.

Yangu ni hayo kutokea Dodoma kwa sasa.
 
Shida ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo hii! Wangekuwa wana akili, wasingetangaza huo mpango wao haram hadharani! Kwa kuitangazia dunia na Marekani ambao hawawaungi mkono kwenye huu uharamia wao; tayari wameshashindwa tangu hatua ya mwanzo kabisa.
 
Shida ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo hii! Wangekuwa wana akili, wasingetangaza huo mpango wao haram hadharani! Kwa kuitangazia dunia na Marekani ambao hawawaungi mkono kwenye huu uharamia wao; tayari wameshashindwa tangua hatua ya mwanzo kabisa.
Serikali ina vilaza sana, yaani mnamtangamzia mtu kabisa kuwa yeye ndio priority.
 
Shida ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo hii! Wangekuwa wana akili, wasingetangaza huo mpango wao haram hadharani! Kwa kuitangazia dunia na Marekani ambao hawawaungi mkono kwenye huu uharamia wao; tayari wameshashindwa tangu hatua ya mwanzo kabisa.
Hujaelewa. Siyo kwamba hawajui walitendalo. Ni kwamba inaweza kuwa ni mbinu ya kupiga pesa kupitia mradi batili wa kumkamata Mange ambao wanajua kabisaa kwamba hautakaa ufanikiwe. Ila utawawezesha kufanikisha kuhalalisha kulipwa kwa kazi bandia walioifanya. Mange hatakamatwa na pesa kibao watapiga.
 
Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.

Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.

Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi cha kutamka mbele ya camera.

2. Wakati Marekani inaangalia upya mfumo wake wa kimuingiliano na mataifa mengi ikiwemo Tanzania hilo linaongeza ugumu.

3. Kura kwa urefu wa kamba...
Point hii ni moja ya sababu kuandika huu uzi, kwa sababu kila kiongozi anaangalia eneo ambalo anaweza kupiga pesa.

Kupitia hii "TUTAMKAMATA" kuna uwezekano mkubwa sana ofisi hiyo kutumia rasilimali fedha nyingi ikiwa na kigezo cha kumtafuta na kumuweka mtegoni huyo binti.

Hivyo serikali itawekeza mali/pesa kwa njia yoyote ili kumnasa huyo binti, kitu ambacho baadaye tukiwa hai tutakuja kuanzisha mada nyingi sana hapa JF kushutumu ulaji wa fedha kwa kigezo cha Mange.

Yangu ni hayo kutokea Dodoma kwa sasa.
Huyu boga aliharibu kila mahali, sasa ndiyo AG? Kweli ndege wenye akili zinazofanana wanaruka pamoja, huyu ndiye anayelamba lamba matak& ya Samia. Eti DPP angalia kama tuna extradiction treaty with U.S, kweli wewe babu umejaa mavi kichwani. Hapo wanataka kupiga pesa za kumtafuta Mange Kimambi......Haiwezekani extradiction.....Labda awe UGANDA, hata Kenya wasingem-extradict hata kama si raia wao. Hawa mavi wanaolamba Matakuu ya bi shavu, chura bin kiziwi wana shida sana, kutwa nzima kupanua midomo yao
 
Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.

Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.

Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi cha kutamka mbele ya camera.

2. Wakati Marekani inaangalia upya mfumo wake wa kimuingiliano na mataifa mengi ikiwemo Tanzania hilo linaongeza ugumu.

3. Kura kwa urefu wa kamba...
Point hii ni moja ya sababu kuandika huu uzi, kwa sababu kila kiongozi anaangalia eneo ambalo anaweza kupiga pesa.

Kupitia hii "TUTAMKAMATA" kuna uwezekano mkubwa sana ofisi hiyo kutumia rasilimali fedha nyingi ikiwa na kigezo cha kumtafuta na kumuweka mtegoni huyo binti.

Hivyo serikali itawekeza mali/pesa kwa njia yoyote ili kumnasa huyo binti, kitu ambacho baadaye tukiwa hai tutakuja kuanzisha mada nyingi sana hapa JF kushutumu ulaji wa fedha kwa kigezo cha Mange.

Yangu ni hayo kutokea Dodoma kwa sasa.
Huyu ni msen***. Kazi uchawa tu. Amkamate dada wa taifa Tanganyika?
 
mleta uzi uko mbele ya muda!
 
Mleta uzi uko mbele ya muda!
 
Aliye juu yao ni mwanamke so wachini yake wote ni lazima watakuwa na mambo ya kike kike ya kuendekeza visasi,kuanzisha migogoro isiyo na mbele wala nyuma. Kimsingi haya ndio madhara ya kuweka mwanamke katika uongozi eneo lolote lile wanapenda sana migogoro na mifarakano.

Sasa imagine mwanasheria mkuu anaacha kuwaza changamoto za kisheria inchini ikiwamo katiba mpya anaanza na ajenda za mipasho na maugomvi ya akina mama. Mange na Samia ni wanawake, kuparuana ni kawaida sana.

Wenye hekima walishasoma nyakati mapema na kusepa serikalini kuendelea na mishe zingine kitaa sababu ni kuona kuwa kwasasa huko serikalini kumejaa akili ya kike, so maamuzi ya kiume yataonekana ni tatizo yatakapopendekezwa.
 
Mange Kimambi ameishahojiwa na FBI na tayari wameisha mpa Mange taarifa nyeti za Serekali ya Samia kutoa tender kwa Mexican crime cartel kumpoteza Mange, huyu kibwetere anakuja hadharani kuanika mpango usiotekelezeka?

Anajaribu kumtambia nani kama sio euphoria ya uteuzi?

Extradition haiwezekani kwa raia kutoka marekani kupelekwa kwenye nchi ambayo tayari ni moja ya Banana 🍌 Republic....

Jamaa anaota ndoto ya mchana au anafanya maigizo tu.
 
Back
Top Bottom