Habari wanajamvi,
Kama heading ilivyo, naomba kwa wenye uzoefu na scholarship hii wanisaidie ufafanuzi wa kina kwa maeneo yafuatayo;
1. Nini huangaliwa zaidi mpaka mwombaji kuwa shortlisted
2. Makadirio ya idadi ya waombaji kwa Tanzania, na huwa wanapata wangapi kwa makadirio ya kila mwaka?
3. Vipi kwa mtu aliyeoa na ana familia je ufadhili huu anaweza kumsaidia pamoja na wategemezi ikiwa ataenda nao au utaratibu uko vipi?
Karibuni kwa mwongozo.