Nikitaka kufika huko nikitokea ukonga nafikaje mkuu sorry kwa maswali mengiCocobeach
Bahari beach
Panda gari za masaki shuka macho hapo unaupanda bajaji jero au boda buku ukitaka unapiga hata kwa mguu maana sio mbaliNikitaka kufika huko nikitokea ukonga nafikaje mkuu sorry kwa maswali mengi
Asante Kaka Ila mimi ni mtumishi Mambo ya warembo sifatilii kabisaNa kawe beach huko ndo kuna warembo kibao kila ijumaa jmos jpili inajaza watu kibao kqz kwako
Ko mtumishi unaenda beach ule mihogo ,usome biblia huko urudi nyumbani?Asante Kaka Ila mimi ni mtumishi Mambo ya warembo sifatilii kabisa
Ndiyo mtumishi kwani hiyo Ina ubaya gani SasaKo mtumishi unaenda beach ule mihogo ,usome biblia huko urudi nyumbani?
Poti unatumwa na nani muraAsante Kaka Ila mimi ni mtumishi Mambo ya warembo sifatilii kabisa
Kwa hiyo kumbe wanawake mkie da beach mnategemea wanaume wawatongoze na kuwagegeda ndani ya maji eeh....Ko mtumishi unaenda beach ule mihogo ,usome biblia huko urudi nyumbani?
situmwi na mtu poti amang'anaPoti unatumwa na nani mura
Hilo nalo tujiulize wanawake muda wote wanahisi watatongozwaKwa hiyo kumbe wanawake mkie da beach mnategemea wanaume wawatongoze na kuwagegeda ndani ya maji eeh....
Kama mtumishi beach za dar hazikufai utachuma dhambi dar sio tanga kuogelea na dela huku ni chupi tu.Asante Kaka Ila mimi ni mtumishi Mambo ya warembo sifatilii kabisa
Mbuya murasitumwi na mtu poti amang'ana
Siku moja moja sio mbaya nataka nikawapige fire Hadi wavae madela Kama TangaKama mtumishi beach za dar hazikufai utachuma dhambi dar sio tanga kuogelea na dela huku ni chupi tu.
wewe bwana wanawake bila kutongozwa wanajisikia vibaya alafu lazima utambue kitu kimoja kuwa hawa viumbe wanapenda game na wana fantasies kibao ni kwamba tuu apate the right person wakufanya nae.Hilo nalo tujiulize wanawake muda wote wanahisi watatongozwa
Wapi huko mkuuKaribuni parisView attachment 2116986