Fukwe za bahari zisizokuwa na kiingilio jijini Dar es Salaam

Hii inaitwaje mkuu
Mkuu, inaitwa Dynasty, ipo Ununio. Ni kali sana.
1000123115.jpg
 
Mimi ni mwenyeji sana wa hili jiji la Dar, ukitaka kuenjoy beach safi kuliko zote hapa Dar ni Ununio beach ina maandhari nzuri sana na ni safi pia sio ya kulipia. kutoka ukonga panda gari la makumbusho au mawasiliano ukifika kwenye vituo hivyo nilivyo vitaja kimoja wapo panda gari la ununio one way mpaka Dynasty mwambie konda akushushe, hapo utakuwa ume fika maana uta tembea tu kutoka barabarani ni kama mita 200 kutoka barabarani.
Nakubaliana na wewe mahali hapo ni pazuri sana nilikuwa hapo na wife sio haba kwa kweli kuanzia usafi na utulivu wa kutosha
 
Kuna sehemu kama tano hivi zimepangana. Sehemu ya mwisho ndio inaitwa Dynasty. Hapo ni pa kula, muzik kwa mbaaali, michezo ya kushoot, na ile ya kupigana risas kwa rangi, virtual reality games, etc. Hapa pa kistaarabu. Nilikula wali samaki 30k, ila samaki mkubwa sana. Panafaa kwa familia, au upo na mtoto unaenda mtongoza, anapenda juice juice. Hapana vibe kivile.

Sehemu inayofata inaitwa Xanadu. Hapa pana Lounge na bar. Hapa pana vibe. Nishawahi kuja nikaondoka saa 7 usiku na watu nimewaacha wanawaka. Hapa wazee wa chakaramu.

Sehemu zinazokuja ni Free Gate sijui, Rasta nani sijui.. zote zinajitahidi.

Yaani izi sehemu zote zina share beach moja, sema uku mbele ndio zimepangana. Kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni kama umetoka fremu moja Mliman city ukaenda duka linalofata, ni hapo hapo si mbali.
Ebu jaribu kwenda man, uta enjoy naamini.

Pia kuna beach ya bure nadhani inaitwa Mahaba beach.

Moja ya beach nzuri na kubwa Dar ni hii hapa,

Kawe, Chakaramu sana uswahili hapapo unyama.
Duuh..mkuu wali samaki 30k je ukitaka chips kuku bei gani? Au kitimoto kilo kg 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom