Daaahh!!kupata papuchi iliyo safi na salama
Mkuu hii tabia ya kukataliwa afu ndio unazidi kukaza namba ata mie naipenda sana, siwezi kukata tamaa na MWANAUME anaekata tamaa ni yule aliekufa.We semester tatu tu una give up watu tulifukuzia hadi semester 6 kabisa lakn bado tumo tu japo nilimalza college nakuendelea kukataliwa na binti hadi sasa nimo tu ila bint kaisha omba po lakn mm bado huwa sipendag kukataliwa mm.
Upo kama mimi,yaan hta nikiw nachat nae siku ya kwanza aenze kujishaua namchana hpo hpo kwmb nime ghailiNikijitaid sana huwa kufukuzia huwa ni siku mbili kama hujanipa jibu nafuta namba
Niko tofauti kabisa na mtoa mada,
Nikitema madini Yangu siku ya kwanza, siku ya pili mpaka siku ya tatu kwa mwanamke, asipoyaweka Sokoni yakanunuliwa!!!!
Sirudii tena.
Kifupi sipendi mwanamke wa kunipa Kalenda kama anayepanga mechi za EPL.
naona hupendagi ujinga ww.mimi semester ya pili sasa napigishwa kalenda eti tuzd kuwa marafk tu....naanza kuchoka sasaDaahh kuna demu nimemfukuzia semista tatu ananizingua tuu.!! Yan mpka nkaamua nifute hadi namba zake kabsaa![]()
![]()
Ila kutokana na huu uzi mkuu wacha nimfuatilie tena mana huez jua