Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,679
Leo inabidi tujadiliane hili, ewe mwanaume unae mfuatilia demu wiki, mwezi, mwaka mpaka miaka inakatika mi sikukatishi tamaa nimekuja na huu uzi kwaajili yako.
NB:Kwa sasa hakuna dem ambaye hana mshikaji kwaiyo wewe fukuzia tu huenda siku moja huyo dem akaachana na mpenzi wake na ndipo akaja kwako kwahiyo wewe fukuzia tu hata kama ni miaka sita.
Nataka niwaambie kuwa wanaume wenzangu asilimia kubwa ya wanawake wapo na wapenzi wao kwahiyo ukimfuata dem na ukamueleza hisia zako akakukubalia ujue jamaa ndo kaisha achwa hivyo.
Hakuna mwanamke ambaye hana mpenzi kwa sasa wewe fukuzia tu mi mwenyewe kunadem ninamfukuzia hivi sasa ni mwaka wa sita huenda hilo boya litaachwa baada ya mwaka wa tisa huko na hilo lidem litakuja kwangu nahitaji maombi yenu.