GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
- Thread starter
-
- #21
G.R mkuu wangu this is too low kutoka kwako! Sijawahi kuona unaandika kitu poor kama hiki toka nimeijua JF!
Mkuu take my words, its a matter of Time.Jaribu kufanya utafiti wako binafsi utayabaini haya. Usiridhike na uzuri wa kitabu kwa kurasa yake ya juu. Tuna tatizo kubwa ndani ya CDM bila kulikemea tunakwenda kubaya.
CCM mwanza wametumia udhaifu wetu kujiimarisha na wamefanikiwa, tukishinda ubunge Mza 2015 itakuwa kwa mbinde hasa, leo CUF kaona ombwe jingine Arusha kapiga kambi huko.
Mapande yanazidi na uimla unamarika, ni hatari kwa chama cha siasa
Mleta mada, Toka lini familia ya Dr. Slaa inaunda kamati kuu ya chama? Acheni kupotosha watu.
GR, unaleta ukosoaji wa mama Chadema humu kwa kumsingizia 1STL2BE!?. We subiri tuu, utapata habari yako!.
NB, by the way, siku nazungumza na Dr aliponieleza msimamo wake (off the record) kama atagombea urais 2015 au laa, Ubavu wake, Mama Chadema, alikuwepo na alisema ...(off the record)!.
Mimi nadhani sasa ni wakati wangu muhafaka wa kuomba uanachama wa Chadema ili kuwakabili waganga njaa wote akiwemo huyu mleta thread ili wajuwe tunapaswa kufanya siasa baada ya shughuli zetu zingine halali zinazotuingizia kipato.
Njaa na akili hata siku moja haviwezi kukaa pamoja, mbona hamuendi kwenye chama cha Dovutwa kwenda kuleta migogoro? Yaani mnaona ng'ombe amenona mnadhani sasa ni wakati wa kukamuwa tu na mvune kile msichopanda?
Mkuu unataka kutuambia Dr Slaa, alivyowafukuza Madiwani wa Mwanza, Matata na Chagulani, ni amri kutoka kwa mama Junior Josephine, mbona Mbowe anaendesha siasa zake peke yake, Dr Slaa jifunze kwa Mbowe unaingamiza Chadema.
Mkuu unataka kutuambia Dr Slaa, alivyowafukuza Madiwani wa Mwanza, Matata na Chagulani, ni amri kutoka kwa mama Junior Josephine, mbona Mbowe anaendesha siasa zake peke yake, Dr Slaa jifunze kwa Mbowe unaingamiza Chadema.
Kabla hatujakwenda mbali unaweza kunieleza Josephine ana cheo gani CHADEMA?Mkuu wangu Matola,
Hoja dhaifu sana kwa suala la msingi na lenye utata kama hili unafanya mzaha wa kahawa. Unaifahamu CDM kwenye magazeti. Tenga muda kidogo wa utafiti (udhaifu mkubwa wa watanzania) Utakayoyabaini yatakusaidia kuthubutu kama hivi kuinusuru CDM, Si ushabiki usio na tija
GHOST RYDER kwa muda mrefu nimekuwa nikikuamini kwa habari zenye mantiki na hoja lakini tangu chagulani na matata wafukuzwe uanachama naona umegeuka na kuanza kutunga habari za kujaribu kukichafua Chadema.
Kama mojawapo ya hao madiwani waliotimuliwa ni ndugu yako ama rafiki yako, ama ni miongoni mwao nikupe pole sana kwakuwa juhudi hizi za kujaribu kukidhalilisha Chadema hamtoweza kufanikiwa kamwe.
Kwamba unajitahidi kuudanganya umma wa watanzania kwamba kikao cha kamati kuu ya Chadema chenye vichwa vya kutosha na tena vichwa makini vinaweza kushindwa kufanya maamuzi yanayolinda maslahi na mustakabali wa chama badala yake mnaleta porojo za josephine hapa. Kwamba mwananchama akikiuka kanuni na katiba ya chama aachwe kwa sababu tu ghost ryder atakimbilia kumlalamikia josephine na Dr. Slaa!!??
Mimi nikuhakikishie jambo moja, kama kuna mtu anadhani anaweza kufanya upuuzi wake wa kukiuka na kwenda kinyume na katiba na miongozo ya Chadema ajue atashughulikiwa tu bila kujali atasema nini baada ya hapo. Chama hiki kimeaminiwa sana na wananchi kwahiyo muda huu si wa kubembelezana ili kuwafurahisha baadhi ya watu.
Dr. Slaa kama katibu mkuu wa chama ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama anafanya kazi nzuri sana kwahiyo haitarajiwi wale wote waliokwenda kinyume na katiba ya chama yeye afumbe macho kwa ajili ya kuwafurahisha. Anachowasilisha kwenye kamati kuu ndicho kinakuwa kimetokea sasa hii habari ya kuanza kuidhalilisha kamati kuu toka kwa watovu wa nidhamu sisi wanachama makini tunaiona sana na kuifuatilia kwa makini na tuna uhakika hamtafanikiwa kamwe kumchafua, wanachama wengi sana bado wana imani na utendaji wake kama katibu mkuu na wana imani naye sana juu ya mustakabali wa chama chetu na serikali ya Chadema kuanzia 2015.
hivi siku hizi umeacha kuwatumia wanachama wanaompinga mumeo meseji za vitisho vya kitoto?. mana tangu salia akuchane live hujasikika tena. hebu tuambie bado unaendelea kumuita mumeo rais na baba wa kila mtu au vipi?. kisha tueleze yule mtoto uliyezaa na kagenzi anaendeleaje.Tatizo walalamikaji wote hawana ushahidi! mwisho wa siku wanaanza kumtukana Dr Slaa na mke wake kihuni kabisa.Leteni nondo hapa tuhukumu na si kututaka tujadili mtizamo tu wa mtu mwenye chuki binafsi!
Tumeomba wenyewe chama kisafishwe na fagio ndio hilo linapita sasa hata Shibuda akilalamika tuseme ni Josephine? Mnafikiri CDM hakuna mapandikizi ya CCM? Acheni masihara na siasa za nchi hii msidhani mambo mnavyoona yanakwenda akina Dr Slaa wanalala kwa amani kama just a CEO of certain company!