Fukuzafukuza CHADEMA: Josephine kama Mama Ruksa enzi hizo

G.R mkuu wangu this is too low kutoka kwako! Sijawahi kuona unaandika kitu poor kama hiki toka nimeijua JF!

Mkuu Mtazamo,

Mpaka nimeandika haya jua sibahatishi. Vuta subira ndugu yangu. Haya maneno utayarudisha kinywani kwako na hiyo imani itaimarika mara dufu.
 
Mkuu take my words, its a matter of Time.Jaribu kufanya utafiti wako binafsi utayabaini haya. Usiridhike na uzuri wa kitabu kwa kurasa yake ya juu. Tuna tatizo kubwa ndani ya CDM bila kulikemea tunakwenda kubaya.

CCM mwanza wametumia udhaifu wetu kujiimarisha na wamefanikiwa, tukishinda ubunge Mza 2015 itakuwa kwa mbinde hasa, leo CUF kaona ombwe jingine Arusha kapiga kambi huko.

Mapande yanazidi na uimla unamarika, ni hatari kwa chama cha siasa

Mkuu ni kweli linaweza kuwepo tatizo sikatai kabisa,tatizo ni jinsi mnavyotoa ushauri si kwa namna ya kujenga kabisa.Chadema ni taasisi kwanini kumshambulia Dr Slaa tena kupitia mkewe bila kuishambulia Kamati kuu yenye vichwa kibao?
Unadhani kwanini wengine hatusemi hatumtaki Kikwete bali CCM yote imeshindwa kazi? Ujumbe wako umeuandika kichuki kabisa ni si kusahihisha Chama.Maamuzi yote ya chama yamepitishwa na hao hao akina Zitto Kabwe na wengine mkuu wangu nao wameshikwa masikio na Josephine?
 
Mkuu unamkosoma Josephine? Wana Chadema wanataka umkosoe Zitto tu! Ila anayofanya Josephine wanajifanya hawaoni. Habari yako hii imekaa kiukweli ukweli vile.
 
Hongera Josephine kwa kuimarisha Chadema

Chama
Gongo la mboto DSM
 
GR, unaleta ukosoaji wa mama Chadema humu kwa kumsingizia 1STL2BE!?. We subiri tuu, utapata habari yako!.

NB, by the way, siku nazungumza na Dr aliponieleza msimamo wake (off the record) kama atagombea urais 2015 au laa, Ubavu wake, Mama Chadema, alikuwepo na alisema ...(off the record)!.

Mkuu wangu kuna namna ya kulipua uozo tunaoujua humu JF,kama tunapenda mabadiliko bila unafiki alafu tunaongea kimafumbo kwa mambo nyeti yanayomgusa moja ya watu tunaotegemea kuongoza Taifa hili hata wewe ni sehemu ya tatizo!

Lipueni kama mnaoushahidi au tuhuma dhidi ya Dr Slaa na si stori za mitaani tu!
 
Mimi nadhani sasa ni wakati wangu muhafaka wa kuomba uanachama wa Chadema ili kuwakabili waganga njaa wote akiwemo huyu mleta thread ili wajuwe tunapaswa kufanya siasa baada ya shughuli zetu zingine halali zinazotuingizia kipato.

Njaa na akili hata siku moja haviwezi kukaa pamoja, mbona hamuendi kwenye chama cha Dovutwa kwenda kuleta migogoro? Yaani mnaona ng'ombe amenona mnadhani sasa ni wakati wa kukamuwa tu na mvune kile msichopanda?

Mkuu wangu Matola,

Hoja dhaifu sana kwa suala la msingi na lenye utata kama hili unafanya mzaha wa kahawa. Unaifahamu CDM kwenye magazeti. Tenga muda kidogo wa utafiti (udhaifu mkubwa wa watanzania) Utakayoyabaini yatakusaidia kuthubutu kama hivi kuinusuru CDM, Si ushabiki usio na tija
 
Mkuu unataka kutuambia Dr Slaa, alivyowafukuza Madiwani wa Mwanza, Matata na Chagulani, ni amri kutoka kwa mama Junior Josephine, mbona Mbowe anaendesha siasa zake peke yake, Dr Slaa jifunze kwa Mbowe unaingamiza Chadema.

Ritz fast responder when it comes to thread kama hizi!Bravo!:eyebrows:
 
Mkuu unataka kutuambia Dr Slaa, alivyowafukuza Madiwani wa Mwanza, Matata na Chagulani, ni amri kutoka kwa mama Junior Josephine, mbona Mbowe anaendesha siasa zake peke yake, Dr Slaa jifunze kwa Mbowe unaingamiza Chadema.

watu wengine bwana, so kwa akili yako ndogo unaamini dr slaa anaweza kuamua mambo mazito ya kikanuni na sheri peke yake? kumbuka maamuzi ya kuwatimua hao madiwani yalitolewa baada ya mkutano mkuu wa chama. na aliye toa taarifa ni mbowe mwenyewe. mimi nikiona mtu anaandika kitu ambacho cha kusadiki tu inaniborea sana, kwani ni lazima uchangie kila mada hapa?
 
Ni kweli ndani ya CDM kuna tatizo linaanza kukua taratibu, na tatizo hili linaletwa na sisi vijana kwa kujiona tupo juu ya chama, kiasi cha kukivuruga na kuwa na ulafi wa madaraka mpaka tunawatukana viongozi wetu.

Halafu tunashindwa kusoma alama za nyakati, kujua ni nani kipenzi cha watanzania mpaka tunaweka jelous za kijinga, tunawachukia wanaopendwa na uma na hata kuonekana shahiri dhahiri kuwa ndio chaguo lao la URAIS. Tunasahau kiongozi hupendekezwa na wananchi, kamwe hajipendekezi hasa kwa nafasi kubwa kama ya URAIS.

Tuwaachie wananchi wao wataamua
 
Mkuu wangu Matola,

Hoja dhaifu sana kwa suala la msingi na lenye utata kama hili unafanya mzaha wa kahawa. Unaifahamu CDM kwenye magazeti. Tenga muda kidogo wa utafiti (udhaifu mkubwa wa watanzania) Utakayoyabaini yatakusaidia kuthubutu kama hivi kuinusuru CDM, Si ushabiki usio na tija
Kabla hatujakwenda mbali unaweza kunieleza Josephine ana cheo gani CHADEMA?

Na kwa faida ya wengi unaweza kutupa hapa mezani majina ya kamati kuu ya Chadema? Ili kuanzia hapo tuone kumbe kamati kuu ya Chadema si lolote kama Mwanamke mmoja anaweza kuongoza maamuzi licha ya kwamba si mjumbe?

Naomba tuanzie hapo kwanza ili tupembuwe pumba na mchele.
 
Halafu mtu huyu huyu anajiita yeye ni Chadema wakati wapenda haki wote masikio yao yapo Mahakama ya rufaa kufuatilia kesi ya Lema, yeye kwa sababu amezungukwa na chuki na kutumiwa wala ameshindwa kujuwa leo chama chake kina priority ipi!!
Haya ndio yanaitwa magendaeka na machakubimbi, wamiliki wakuu wa viwanda vya uongo.
 
...lakini tuwe "practical"...usiposhauriwa kwanza na mke wako....then?.... na watu wapembeni ambao mmeunganishwa na imani moja ya kisiasa? tuwe wakweli...sifa moja ya "first order commender" ni kuwa practical ktk maisha ya kawaida...na si kujifanyisha, ati "...mi sishauriwi na mwanamke/mke wangu"....
 
Mleta mada bado nasubili utupatie majina ya wajumbe wa kamati kuu na najuwa humo Kitila Mkumbo yumo, Mabere Marando yumo, Wenje yumo, Abdalah Safari yumo, Zitto Kabwe yumo.

Sasa ombi langu tupe idadi kamili kwa sababu wewe ni Chadema ili tuanze kupima na tuone Chadema ni sawa na club ya chimpumu tu ndio maana wasomi wote hawa wanaongozwa na mtu asiyekuwa mjumbe. Haya ni matusi makubwa sana kwa kamati kuu ya Chadema.
 
Hoja zinazotumika dhidi ya Zitto Kabwe ni karibu zile zile zitumikazo dhidi ya Josephine, hapa naongelea machimbuko ya taarifa na mahusiano dhidi ya watu wawazungukao,pia kile kinachodhaniwa kuwa ni dhamira zao kisiasa.

Kwa Kuwa watu wamekwenda mbali zaidi kuongea dhidi ya Zitto Kabwe, nadhani itakuwa ni uonevu kama watapuuzia taarifa zinazomhusu Josephine.

Inabidi suala hili liangaliwe kwa umakini sana maana naona linzidi kutoa harufu mbaya, nia afadhali lidhibitiwe ili uhalisie ujulikane ni upi japo inawezekana kabisa ikawa ni sehemu ya mikakati ya kumsughulikia, kumdhibiti, na kumdhoofisha Dr. Slaa.
 
Habari hii ina ukweli wa 100%.

Kufukuzwa kwa Adam na Matata ni mwanzo wa mkakati unaoratibiwa na Slaa kuhakikisha vijana wote wanaomuunga mkono mpinzani wake (Zitto) wanasafishwa kabla ya uchaguzi mwakani na ule wa 2015.

Na kwa taarifa za uhakika ni kwamba anaefata baada ya Chagulani ni makamu mwenyekiti wa baraza la vijana bi Juliana Shonza ambaye inasemekana ni muumini mzuri wa siasa za Zitto.

Mpango ambao katibu wa BAVICHA Munishi ametajwa kuwa kinara kwa kupata maelekezo toka kwa katibu mkuu Slaa, na tayari walianza kuufanyia kazi katika kikao cha kamati tendaji ya BAVICHA taifa iliyofanyika Morogoro, lakini mpango huo haukufanikiwa baada bi Juliana na wajumbe walio wengi kuushtukia mpango huo mapema.

Pia mpango huo unawataja vijana wengine ambao pia ni waumini wa siasa za Zitto, kijana Habib Mchange, Mtela Mwampamba pamoja na Festo Sanga.

Hata wajumbe wa kamati kuu ambao nao huwa hawakubaliani na system ya chama namna kinavyoendeshwa Prof Baregu, Prof Safari pamoja na makamu mwenyekiti Mh. Arfi wao wameacha kabisa kuhudhuria vikao vya kamati kuu!

Huku chanzo kikubwa kikitajwa kuwa ni Mushumbusi ambaye ndiye anayemfanyia maamuzi Slaa, kitu ambacho hata Mbowe amekuwa akipingana nacho.

Mama huyo amefikia hatua ya kufanya ziara mikoani nakujitambulisha kama mke wa rais mfano ni pale alipoenda Mbeya na kusema, nanukuu:

"Mimi kama mama rais nahakikisha namlea baba, Rais wenu, ili aendelee kuwa na afya njema mpaka 2015."

Maneno haya yaliibua sintofahamu kwa baadhi ya wasikilizaji hali iliyopelekea kijana mmoja kunyosha mkono na kumuuliza yeye anafanya ziara za chama kama nani? Kama mwanachama wa kawaida au kama mke wa katibu mkuu?

Kama mke wa katibu mkuu mbona mke wa Mbowe hajawahi kuonekana kwenye shughuli yoyote ya chama zaidi ya misibani na hata katiba haijaeleza kama mke wa kiongozi anaruhusiwa kufanya ziara za chama. Na kama amekuja kama mwanachama wa kawaida iweje apokelewe na viongozi wa chama mkoa na wilaya? Iweje mkoa uhusike na mapokezi yake?

Maswali haya yalimfanya Josephine apaniki na kuanza kusema "Jamani kuweni makini kuna vijana wa Zitto hapa wametumwa kuja kuharibu ziara yangu"

Huyu mama amekuwa ni mzigo wa misumari kwa chadema, siku hadi siku anasababisha umaarufu wa Slaa kuporomoka hasa ndani ya chama ambako kwa muda mfupi alioishi na mshumbusi slaa amekuwa mtu wa majungu na fitna.
 
GHOST RYDER kwa muda mrefu nimekuwa nikikuamini kwa habari zenye mantiki na hoja lakini tangu chagulani na matata wafukuzwe uanachama naona umegeuka na kuanza kutunga habari za kujaribu kukichafua Chadema.

Kama mojawapo ya hao madiwani waliotimuliwa ni ndugu yako ama rafiki yako, ama ni miongoni mwao nikupe pole sana kwakuwa juhudi hizi za kujaribu kukidhalilisha Chadema hamtoweza kufanikiwa kamwe.

Kwamba unajitahidi kuudanganya umma wa watanzania kwamba kikao cha kamati kuu ya Chadema chenye vichwa vya kutosha na tena vichwa makini vinaweza kushindwa kufanya maamuzi yanayolinda maslahi na mustakabali wa chama badala yake mnaleta porojo za josephine hapa. Kwamba mwananchama akikiuka kanuni na katiba ya chama aachwe kwa sababu tu ghost ryder atakimbilia kumlalamikia josephine na Dr. Slaa!!??

Mimi nikuhakikishie jambo moja, kama kuna mtu anadhani anaweza kufanya upuuzi wake wa kukiuka na kwenda kinyume na katiba na miongozo ya Chadema ajue atashughulikiwa tu bila kujali atasema nini baada ya hapo. Chama hiki kimeaminiwa sana na wananchi kwahiyo muda huu si wa kubembelezana ili kuwafurahisha baadhi ya watu.

Dr. Slaa kama katibu mkuu wa chama ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama anafanya kazi nzuri sana kwahiyo haitarajiwi wale wote waliokwenda kinyume na katiba ya chama yeye afumbe macho kwa ajili ya kuwafurahisha. Anachowasilisha kwenye kamati kuu ndicho kinakuwa kimetokea sasa hii habari ya kuanza kuidhalilisha kamati kuu toka kwa watovu wa nidhamu sisi wanachama makini tunaiona sana na kuifuatilia kwa makini na tuna uhakika hamtafanikiwa kamwe kumchafua, wanachama wengi sana bado wana imani na utendaji wake kama katibu mkuu na wana imani naye sana juu ya mustakabali wa chama chetu na serikali ya Chadema kuanzia 2015.
 
Slaa sio kikwazo cha mafisadi, yeye mwenyewe ni fisadi mzuri tu, karuzuku ka ml230, kanamlipa mshahara wa ml 7, posho laki mbili kila anapokuwa nje ya ofisi, posho ya kulala vyumba yeye, mshumbusi, junior na housegirl kwa vyumba vya 280,000, walinzi wawili wa nyumbani kwake bunju(ndugu wa mshumbusi)walinzi wawili wa kanisa analosali yeye na mshumbusi,bado ile ml 140 anayodaiwa na Komu aliyochukua kumalizia deni la nyumba ya Mshumbusi Bunju.

Pili orodha ya (list of shame) aliyoisoma Mwembeyanga alipewa tu na Zitto aisome, Zitto ndie aliyoitafiti na kuiandaa.

Na hata kusoma alikataa kwa madai kwamba anaogopa Mbowe ndio aliyemwambia acha uoga lazima uisome hii list, yeye kama yeye alikuwa hataki kabisaa!

Kwani CCM ndio asili yake ameutumikia kwa miaka yote ya ujana wake!

Muwadanganye hao hao wasiojua ukweli,eti slaa kiboko cha mafisadi angeogopa kuwataja?

Hahahaaaaaa!
 
GHOST RYDER kwa muda mrefu nimekuwa nikikuamini kwa habari zenye mantiki na hoja lakini tangu chagulani na matata wafukuzwe uanachama naona umegeuka na kuanza kutunga habari za kujaribu kukichafua Chadema.

Kama mojawapo ya hao madiwani waliotimuliwa ni ndugu yako ama rafiki yako, ama ni miongoni mwao nikupe pole sana kwakuwa juhudi hizi za kujaribu kukidhalilisha Chadema hamtoweza kufanikiwa kamwe.

Kwamba unajitahidi kuudanganya umma wa watanzania kwamba kikao cha kamati kuu ya Chadema chenye vichwa vya kutosha na tena vichwa makini vinaweza kushindwa kufanya maamuzi yanayolinda maslahi na mustakabali wa chama badala yake mnaleta porojo za josephine hapa. Kwamba mwananchama akikiuka kanuni na katiba ya chama aachwe kwa sababu tu ghost ryder atakimbilia kumlalamikia josephine na Dr. Slaa!!??

Mimi nikuhakikishie jambo moja, kama kuna mtu anadhani anaweza kufanya upuuzi wake wa kukiuka na kwenda kinyume na katiba na miongozo ya Chadema ajue atashughulikiwa tu bila kujali atasema nini baada ya hapo. Chama hiki kimeaminiwa sana na wananchi kwahiyo muda huu si wa kubembelezana ili kuwafurahisha baadhi ya watu.

Dr. Slaa kama katibu mkuu wa chama ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama anafanya kazi nzuri sana kwahiyo haitarajiwi wale wote waliokwenda kinyume na katiba ya chama yeye afumbe macho kwa ajili ya kuwafurahisha. Anachowasilisha kwenye kamati kuu ndicho kinakuwa kimetokea sasa hii habari ya kuanza kuidhalilisha kamati kuu toka kwa watovu wa nidhamu sisi wanachama makini tunaiona sana na kuifuatilia kwa makini na tuna uhakika hamtafanikiwa kamwe kumchafua, wanachama wengi sana bado wana imani na utendaji wake kama katibu mkuu na wana imani naye sana juu ya mustakabali wa chama chetu na serikali ya Chadema kuanzia 2015.

Mwita maranya ukweli kuhusu mshumbusi unaujua fika ila sema utafanyaje maana na wewe kale karuzuku kanakulipa mshahara kama mkurugenzi!
Unaogopa yasije yakakukumba kama yaliyomkumba ndugu yako mwigamba.
 
Tatizo walalamikaji wote hawana ushahidi! mwisho wa siku wanaanza kumtukana Dr Slaa na mke wake kihuni kabisa.Leteni nondo hapa tuhukumu na si kututaka tujadili mtizamo tu wa mtu mwenye chuki binafsi!

Tumeomba wenyewe chama kisafishwe na fagio ndio hilo linapita sasa hata Shibuda akilalamika tuseme ni Josephine? Mnafikiri CDM hakuna mapandikizi ya CCM? Acheni masihara na siasa za nchi hii msidhani mambo mnavyoona yanakwenda akina Dr Slaa wanalala kwa amani kama just a CEO of certain company!
hivi siku hizi umeacha kuwatumia wanachama wanaompinga mumeo meseji za vitisho vya kitoto?. mana tangu salia akuchane live hujasikika tena. hebu tuambie bado unaendelea kumuita mumeo rais na baba wa kila mtu au vipi?. kisha tueleze yule mtoto uliyezaa na kagenzi anaendeleaje.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom