Ndugu wasomaji
Kama mnavyojua soko letu la kariakoo inavyopiga kazi kwa biashara lakini kwa saivi fujo zimezidi sana maana machinga wapo kila kona inakuwa usumbufu kwa sisi wafanyabiashara tunaolipa kodi na tumepanga duka maana wateja hawafiki madukani zetu kwa shida kama za parking salama ya gari zao , fujo au shida ya kuumia , lugha chafu ivi serekali inge wapangia sehemu maalumu kama solo ili wote tufanye biashara bila ugomvi na usumbufu
Hatupo against ya kufanya wamachinga biashara ila inatakiwa iwe yenye mwelekeo je wadau umnaonaje?