Fujo la udini Nigeria

It really beats me...sijui kwa nini hawakutumia juzuu ya "takbiru alaa walibalu" misikitini badala ya kufanya fujo na mauaji ya kutisha dhidi ya "makafiri" ....
 
walianza hivihivi, na kwa wale ambao hawajui, kazi mojawapo ya oic ni kuhakikisha kuwa dunia nzima inatawaliwa na uislam. huwa wanaingiza kama wanataka kitu kinachoitwa haki, kama mahakama ya kadhi vile, baadaye wanataka kuchukua nchi kama ilivyo kwa Nigeria nad Lebanon. MNAJUA KUWA LEBANON WAS THE ONLY CHRISTIAN COUNTRY in the middle east na iliyokuwa na majority christians, hii ndo ilikuwa nchi yenye maendeleo ya elimu pekee middle east, Beirut ndo ilikuwa centre ya elimu na biashara kubwa, mabenk makubwa etc. kwasabab ya elimu iliyoletwa na wakatoliki kutoka ufaransa.

walipoanza kupokea wahamiaji wa kipalestina na wahamiaji toka sehemu zingine za kiarabu, ndo wamefikia kuwa majority muslims, na HEZ BULA ndo wenye nguvu na jeshi lenye nguvu kuliko hata selikali ya lebanon kwa sasa. ni sawa tu na chama cha hizb kilichoanzishwa kule magomeni msikiti wa kichangani pale juzu. mambo ndo hayohayo tu.

CHA AJABU, WALE WA NIGERIA WANASEMA ATI " alimu dunia ni dhambi...hahaha, basi watuachie mashule na vyuo vikuu tuingie sisi tu ambao tunajua kuwa elimu dunia ndo Mungu ametujalia...hahaha. vichwa vyao vimejaa mashetani, bila kuokoka hawatapona milele.

HAYO YANAKUJA TZ, KAMA HATUTAKUWA MACHO, SOON ITAFIKIA HAPA KWETU KUWA KAMA NIGERIA.

look at southern Nigeria, ambako ndo kuna wakristo wengi zaidi, ndo kwenye majiji makubwa kama Lagos and mengine, kuna mashule na vyuo vikuu vizuri, ndo kwenye maendeleo na watu wengi ndo wameelimika kule. kule kaskazin ambako watu wanajali tu kutandika mkeka na kuswali hakika ni masikini na illiterate. NAOMBA WAISLAM WA TZ MJIFUNZE KUTOKA KWA WENZENU HALAFU MUWAIGE WAKRISTO. lasivyo, mtakuwa nyume milele hapa tz. nguvu zenu za mikono hazitawasidia ile nguvu ya akili kichwani na elimu ndo itawasadia. ushauri wa bure.
 
Nina ngoja watu kama GT waje hapa watueleze juu ya hili la Nigeria na sharia Law kama ni sahihi kwa watu wengi vile kufa .

Je waislam bado mnataka Kadhi na OIC ?
 
Mwislamu akishaingia madarakani anakuwa na kofia mbili, mambo ya Serikali na dini yake. Tumewaona Mwinyi na Kikwete walivyojenga mazingira ambayo yanaonyesha kuisilimisha nchi. Huko Nigeria ya kaskazini kama wewe si Mwislamu unatengwa na jamii inayokuzunguka, hupati haki km ardhi serikalini simply kwa sababu wewe si mwislamu. Serikali yetu ilisema kuwa kuleta mambo ya Kadhi kungeleta fujo lakini all of sudden wakabadili mwelekeo ambao unaelekea kwamba Mahakama za Kadhi zitaundwa. Viongozi wetu wanajali wao kubaki madarakani tu na hawana vision juu ya hatima ya nchi yetu! The future of peaceful Tanzania is currently on hold!
 
Salaam toka mlimani .
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana haa .JF ni hodari sana kw aissues za Kitaaifa na Kitaifa na vijimatukio.Ila nimeona jambo hili la Nigeria watu kuuana hapa halijaguswa kabisa .Kiini wanasema western values kuwa introduced eneo lile kama education system nk .

Nina maswali haya
1.Eneo lile nao walianza na madai ya haki za waislam ndipo wakaamua kusema litawaliwe na sharia ?

2.Je walikisha kuwa na sharia ina maana wale wasio waislma walipaswa kuondoka ama walitakiwa kuishi kufuata sharia ?

Una matatizo gani wewe hata unalifahamu neno "sharia" katika negative badala ya positive inayokusudiwa? Au ndio kwasababu inatokana na uislamu? Unafahamu nini maana ya "Western democrasy" au British common law? Mbona watu hawahami miji na kuhamia vichakani? Wanaishije miongoni mwetu watu wasioamini mifumo hiyo? Sio kuheshimu tu utawala as long as kama unatawala kihaki na usawa?

3.Wakisha weka sharia ina maana Serikali sasa inakuwa imetupwa mambo yanakuwa kama porini tu kwa wanyama wakubwa na wadogo ama kule kwa Talebani ?

Hichi tena kichekesho!!! Unafikiria nini kichwani kwako wewe? Nani kakushibisha kasumba namna hii? Unafikiri kama ingekuwa hivyo hata hao waislamu wangeiamini, kuitekeleza na kuitetea?. Kwa kifupi tu serikali inakuwepo, mahakama zinakuwepo na sheria zinazotawala ni zitokanazo na Qu-ani na Sunna za Mtume Muhammad na zinawalinda watu wote kwa haki na usawa kuliko hizi sheria tulizonazo based on British common Law au secularism ambazo zinayaacha masuala ya morality uchi. "Sharia" zitokanazo na Qur-ani na Sunna zinatokana na kwa Mwenyezi Mungu (SW). Mweneyezi Mungu wa Adam, Ibrahiim, Nuhu, Daudi, Mussa, Jesus na wa mwisho katika watakatifu hao ndio Muhammad ambae ndiye aliyetumwa na Qur-ani na Sunna zake. Wewe kama John, Patrick, Abdalla, Mahendra, Said bin Said na unaishi chini ya Sharia, basi utalindwa kama kawaida na mali zako na sehemu zako za ibada wakati upo katika nchi, Lakini bila shaka wewe, Abdalla, Hassani, Mahendra,Said bin Barhashi, Mike Jones nk nk, usifanye vitendo vichafu, morality wa binadamu katika sharia za kiislamu haukuachwa uchi kama katika sheria nyenginezo zisizokuwa za kiislamu, umelindwa na umelindika, na hili hasa ndio hao mafisadi katika ardhi ndio wanalouchukia uislamu kutokana nalo. Soma zaidi ndugu yangu usibabaishwe na kasumba tu. Hebu muulize Robin Williams ukimpatia nafasi, uko wapi ndugu


Ni haya tu kama kuna wachambuzi zaidi wanipe mwangaza nione mbele .Asanteni

Bila shaka uchambuzi upo na mkubwa, kwa maana "sharia" na taratibu zake ukiondasha masuala ya mtu binafsi kama kuidumisha shahada, kuswali, kufunga, kutoa zaka, na kuhiji Makka ambayo kila muislamu hatakiwi aendekeze ujinga kutokana na hayo, masuala ya kuendesha nchi ki"Sharia" ni mengi na makubwa na wapo wana"sharia" na professions zao. Unaelewa vipi wewe hakimu, jaji, wana"sheria" nk nk wanavyoendesha kazi zao? Si unafuata tu.

Wanasababu hao waNigeria wa jimbo husika, kama wao ni majority waislamu, kuna machifu wanarun majimbo kwanini sio kwa waislamu.?
 
Mleta Mada...Hii Mada ipo kule ktk International Forum tangu siku ya kwanza..Check hapo JF juu..umeileta huku kwasababu za Uvivu wako Kujua lipi local na lipi International....

... Mods..pls ihamishwe hii mada mahala Husika.!!!
 
Mkuu Chuma wacha watu tusemee hapa mkubwa .
Kweli nimeshangaa huu ukimya hapa .
 
WARNING: The following image is disturbing.
2.jpg


mwili wa Shehe muhamed yusufu ukiwa umetobolewa tobolewa na risasi......nawashukuru jeshi la Nigeria kwa kazi nzuri


Kifo kwa ajili ya mabikira. Mhhh, kwanini wasitumie njia nyingine, .....
 
Wale jamaa wa hapa JF na kulia lia kwao kila mara akina Mwiba GT na wengineo Mkandara mko wapi ?Mtupe kwa ufupi hii habari .
 
Waislamu hawajui lugha nyingine yoyote zaidi ya fujo na machafuko!Fuatilia kuenea kwa dini hii ilikuwaje!Kwa sababu hii basi ili kuongea nao yapasa kufahamu lugha yao nayo si nyingine bali risasi za moto tu hamna lingine!Piga risasi kama ustadhi hapo juu basi ndio mtasikilizana!aisee hiyo picha nimeiweka screen server!Nimefurahishwa sana na reaction ya wanigeria!hamna longolongo chapa risasi za m******ni ndio maelezo baadae!hii teknik wanaiweza sana waisraeli;piga mabomu mpaka kieleweke!pole pole mtakaa sawa tu pumbavu!No to Mahakama ya KADHI(isomeke KAZI)no to OIC!
 
Naona wakristo wa tz wanatukana sana waislamu wa tz! Cha muhimu ni kujiepusha na ushabiki wa kidini usiokuwa na msingi.Ila itakoma yenyewe kama one day ikatokea Tanzania nina uwakika kuhusu hilo naomba allah atuepushe.

Always watu ambao wamekutana na matatizo ndio ambao wanayachukia matatizo hayo kwa vitendo badala ya kuanza kutukanana . Yakitokea Tz hakuna mtu tena atakayetukana dini nyingine kwani watu hawatotaka kuwarudisha nyuma na kila mtu atajua madhara ya vita ya kidini, mnakumbuka Kenya fujo la ukabila lilifukuta hivi hivi kwa matusi.Lakini sasa wanasaka mbaya ni nani na ni watu 1000 tu waliokufa, next time watakuwa peaceful hawatakubali watu wapumbavu wawarudishe nyuma.

Kama ishu imetokea Nigeria usitukane waislamu wa Tz, kama waislamu wa Tz wangetaka nchi iwe ya kiislamu ni tangu enzi zile ambapo ukristo ulikuwa haujaenea Tz.
 
Last edited by a moderator:
Nigeria photo shows leader alive

_46144398_yusuf.jpg

The photograph clearly shows Mohamed Yusuf, in army custody, alive


The BBC has obtained a photograph which shows that Yusuf Mohamed, the leader of the Boko Haram sect in Nigeria, was alive when captured by the army. They handed him over to the police. A few hours later, journalists were shown his bullet-ridden body.

The police said he had been fatally wounded while trying to evade capture.

Mr Yusuf's Islamic sect is blamed for days of violent clashes with security forces across northern Nigeria, which killed hundreds of people. Human Rights Watch in Nigeria have called for an immediate investigation into the killing of Mr Yusuf, 39, which they called "extrajudicial" and "illegal".

On Friday, the army commander of the operation against the Boko Haram group, Col Ben Ahanoto, said he had personally captured Mr Yusuf and handed him over to the chief of police in Maiduguri, the capital of Borno state.

He said Mr Yusuf had a wound in his arm - which is clearly shown in the photograph - which had already been treated.

The police, however, insisted he had been fatally wounded in combat

 
Dini ya Rais haihusiani na hii kadhia. Chanzo cha tatizo ni hizi CULTS zinzojisingizia dini.

Mkuu,

i was just asking for cross reference purposes. Hawa jamaa wa hizi cults
nadhani pia wanamatatizo ya kisaikolojia kisha wanasingizia dini.
 
Mkuu,

i was just asking for cross reference purposes. Hawa jamaa wa hizi cults
nadhani pia wanamatatizo ya kisaikolojia kisha wanasingizia dini.

Dini yeyote inayohubiri chuki na utenganishi hiyo ni cult tu hata ijisingizie vipi hiyo ni cult.

Ok, rais wa Nigeria ni Ustadh al Hadj Umaru Yar'Adua, nadhani ni mdogo mtu wa Musa Yar'Adua aliyeuawa na fisadi dikteta nduli Sani Abacha. Ni muislamu kutoka kaskazini hukohuko mwa Nigeria. Ni msomi kama mdau mmoja alivyotanabahisha hapo awali kuwa ni mwalimu wa Chuo Kikuu ktk medani za Kemia.
 
Dini yeyote inayohubiri chuki na utenganishi hiyo ni cult tu hata ijisingizie vipi hiyo ni cult.

Ok, rais wa Nigeria ni Ustadh al Hadj Umaru Yar'Adua, nadhani ni mdogo mtu wa Musa Yar'Adua aliyeuawa na fisadi dikteta nduli Sani Abacha. Ni muislamu kutoka kaskazini hukohuko mwa Nigeria. Ni msomi kama mdau mmoja alivyotanabahisha hapo awali kuwa ni mwalimu wa Chuo Kikuu ktk medani za Kemia.

Abdulhalim,

Mbona basi jamaa haongei dhidi ya hizi cults ambazo zinapatia dini
yake sura mbaya? He is too quiet to be a president who's country is
on fire with these kinds of skirmishes. Somebody needs to tell him to wake
up unless he is enjoying the whole scenario.
 
Back
Top Bottom