Aaah wapi, ni uzushi tu wa mitandaoni, na Baadhi ya watu walitegemea kusingelitokea mwitikio mkubwa kama huo na Baadhi yao kutegamea kwamba atazomewa tu kulingana na ukweli wa Magufuli kuwaambia Yeye hakuleta tetemeko bukobaHiyo ya Magufuli kuzomewa hata siamini, Kuna hata ka'clip' tuone uongo wako? π€π€π€
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Hai na Kagera , Hai kulikuwa na kikosi kimeandaliwa kumdhuru Lissu na Mbowe ambacho kiliandaliwa na DC , Kagera wananchi wameulizwa kama watamchagua Magufuli wakasema hawatamchagua , jambo ambalo ni la kidemokrasia tuNimekua nikifuatilia kampeni tangu zianze. Niseme kwamba kampeni za mwaka huu zinautulivu kuliko kampeni za 2015.
Kuna vitu vichache ambavyo vinahitaji kukemewa...
Acheni kutafuta huruma nyie ficcm wananchi wanaonyesha hisia zao na reaction nyie mnasema fujo.Nimekua nikifuatilia kampeni tangu zianze. Niseme kwamba kampeni za mwaka huu zinautulivu kuliko kampeni za 2015. Kuna vitu vichache ambavyo vinahitaji kukemewa...
Kila mtu anaweza akatetea upande wakeKuna tofauti kubwa sana kati ya Hai na Kagera , Hai kulikuwa na kikosi kimeandaliwa kumdhuru Lissu na Mbowe ambacho kiliandaliwa na DC , Kagera wananchi wameulizwa kama watamchagua Magufuli wakasema hawatamchagua , jambo ambalo ni la kidemokrasia tu
Ningeipata hiyo 'clip' pendwa ...!Kuna tofauti kubwa sana kati ya Hai na Kagera , Hai kulikuwa na kikosi kimeandaliwa kumdhuru Lissu na Mbowe ambacho kiliandaliwa na DC , Kagera wananchi wameulizwa kama watamchagua Magufuli wakasema hawatamchagua , jambo ambalo ni la kidemokrasia tu
Binafsi nimehudhuria mkutano wa CCM kuanzia Bukoba Mjini na Biharamulo. Kagera na haswa Biharamulo wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea wa CCM John Magufuli, yanayosemwa ni uzushi tu..ukweli usemwe, Kama hukua eneo la tukio usipoteze muda kubishanaHiyo ya Magufuli kuzomewa hata siamini, Kuna hata ka'clip' tuone uongo wako!
Hongera kwa wasanii na bongo moviesNyomi za Magufuli zinakeraaa!!!
Hasa Kwa wapinzani wake, zinawakera Sana aisee
Magufuli ndo kaleta ubabe leo kagera. Wewe unawauliza watu watu wamesema hawakupi kura si upotezee tu!Nimekua nikifuatilia kampeni tangu zianze. Niseme kwamba kampeni za mwaka huu zinautulivu kuliko kampeni za 2015. Kuna vitu vichache ambavyo vinahitaji kukemewa...
Huyu ni kada mwenzako!Hiyo ya Magufuli kuzomewa hata siamini, Kuna hata ka'clip' tuone uongo wako! π€π€π€
...Na mikesha ya burudani ambayo tukiifanya sisi wapinzani tunasambaratishwa na mabomu ya machozi na risasi za moto!Hongera kwa wasanii na bongo movies
Hebu weka video clip tuone sije ikawa ya kutengeneza mbona nilikuwa naangalia live Cjannel 10 sikuona labda ilinipita leta tuone hiyo ya Bukoba!Nimekua nikifuatilia kampeni tangu zianze. Niseme kwamba kampeni za mwaka huu zinautulivu kuliko kampeni za 2015. Kuna vitu vichache ambavyo vinahitaji kukemewa...
Nyomi la wanafunzi?Nyomi za Magufuli zinakeraaa!!!
Hasa Kwa wapinzani wake, zinawakera Sana aisee
Weka clip tuone!..hao ni ccm wanatafuta namna ya kumfanyia fujo Tundu Lissu.
..wewe subiri utaanza kuona Tundu Lissu anafanyiwa fujo ktk mikutano yake.