paschal anthony
Member
- Sep 16, 2014
- 32
- 13
Ha ha ha ha ha ha pita kuleee!!!
Jitahid tu au haupend mihogo?
Mpaka mtu anatofautisha vibamia na mihogo ujue utamu wote anaufahamu wa muhogo au kibamia na anaweza kuutofautisha ila kwa bahati mbaya wengine vibamia hawavijui ila mihogo tu kwa perception kwamba mihogo inaumiza kumbe sometimez kama mwanamke hajaandaliwa kibamia kinaumiza pia, na hapa mtabishana sana lakn ukweli ni kwamba hakuna atayeweza kubadilisha ukweli mwanamke mwenye uke mkubwa atapata raha kwa mwanaume mwenye uume mkubwa na mwanamke mwenye uke mdogo vibamia wanamtosha kabisaaa, uzuri wake uke wa mwanamke huwa unatanuka kutokana na saizi ya uume hivyo kama mwanamke ana uke mkubwa ujue mwanaume mwenye uume mkubwa kapita hapo, na ijulikane wanawake wote wameumbwa ni tait wakiwa na bikra tofauti zinatoke pale inapoondolewa na inategemeana na aliyeiondoa, ila kwa mwanaume kuwa na kibamia au muhongo ni mpango wa Mungu msitoane ngeu
sorry ipo kwa mwingine sio ww
madhala - madharaHahahaha haina madhala
ha ha ha ha umeongea ukweli naona manyoya tu ... kaa hapa wakukaange wapenda marungu na makalio makubwa.....
utakuwa una kibamia umetafuta adi tafiti za watu.. pole kitumie vizuri tu
ha ha ha ha umeongea ukweli naona manyoya tu ... kaa hapa wakukaange wapenda marungu na makalio makubwa.....
utakuwa una kibamia umetafuta adi tafiti za watu.. pole kitumie vizuri tu
Wachaga nyie hata uenge na libiringanya kama una pesa hakojoi ng'o
Dear ivi wewe mwanaume bila kuwa na pesa utakojoa kweli? maana wachaga hawaangalii maumbile ya dushe..wanaangalia maumbile ya wallet
Umeaua mkuu...andhani jamaa mleta mada kapata mfadhaiko kabisa.
jiangalie wewe shauri yako
bila kuwa na hela kwanza siwezi aiseee
anisamehe bure huwa najaribu kuongea ukweli