Fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume

Fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume

Uko vizuri Angelita mapenzi hayachagui bamia wala NINI inategemea Na mtumiaji au mtumwa kama hajishulishi ni. bure hata kama ndefu
 
Watu wenye Over size wana uwezekano mkubwa wa kuambukiza
na kuambukizwa HIV ukilinganisha na sisi wenye Vibamia. Hii ni faida
mojawapo ya kuwa na kibamia,

Nilitembea na wan awake 3 waathirika kwa nyakati Tofauti lakini nimenusurika
nilipomueleza daktari baada ya maongezi ya Muda mrefu alinithibitishia kuwa
kibamia kimenisaidia.

Ha ha ha dah hii ni kali ya mwanzo wa mwaka.
 
Mabata madogo madogo wanaogelea wanaogelea wakilia wanalia kwakwakwa. Daah iliniuma sana siku niliojua demu wangu anajiongezea vitu aonekane anafiger mode yote iliishaa wnawake nyinyi mnavituko
 
Mmhh hapa pamoto sana mi spawezi bainiiiiiiiii!
 
Nasoma mchezo hapa mpo juu zaidi ya hii net yangu hapa geto
Hapa ata sisemi kitu niwaachie masterling
 
Uko vizuri Angelita mapenzi hayachagui bamia wala NINI inategemea Na mtumiaji au mtumwa kama hajishulishi ni. bure hata kama ndefu

Inategemea na kina cha mtu aiseeh, kuna virefu hapo kibamia hafiti ata ujishughurishe vipi, labda kwenye vina vifupi hapo wataenda sambamba mana atakuna hadi mwisho.
 
by the way i prefer kibamia hasa nwenye nacho ajue mabembekezi, manjonjo madogo nadogo ni raha sana.
yaani unaweza ukaenda na bikira yako hata asiiharibu.
Hahahahah aliyekudanganya kasafiri aliyekuambia kibamia hakitoi bikra nani?
 
Mpaka mtu anatofautisha vibamia na mihogo ujue utamu wote anaufahamu wa muhogo au kibamia na anaweza kuutofautisha ila kwa bahati mbaya wengine vibamia hawavijui ila mihogo tu kwa perception kwamba mihogo inaumiza kumbe sometimez kama mwanamke hajaandaliwa kibamia kinaumiza pia, na hapa mtabishana sana lakn ukweli ni kwamba hakuna atayeweza kubadilisha ukweli mwanamke mwenye uke mkubwa atapata raha kwa mwanaume mwenye uume mkubwa na mwanamke mwenye uke mdogo vibamia wanamtosha kabisaaa, uzuri wake uke wa mwanamke huwa unatanuka kutokana na saizi ya uume hivyo kama mwanamke ana uke mkubwa ujue mwanaume mwenye uume mkubwa kapita hapo, na ijulikane wanawake wote wameumbwa ni tait wakiwa na bikra tofauti zinatoke pale inapoondolewa na inategemeana na aliyeiondoa, ila kwa mwanaume kuwa na kibamia au muhongo ni mpango wa Mungu msitoane ngeu
 
Maandalizi sawa, hata shamba huandaliwa, lakini tofauti mbolea yake mengine yana mbolea mengine hayana. Ya nini kulima kwenye mawe kisa nitafanya maandalizi.
Mtahangaika bure mara vibamia mara mihogo, mapenzi hayahitaji hivyo, kuridhika kwa mwanamke inategemea na maandalizi uliyoyafanya iwe ni kibamia au muhogo, pia kuridhika kwa mwanamke kingono ni sehemu tu ya kuridhika kimapenzi haimaanishi kwamba ukimridhisha hapo ndo umemaliza eti atakupenda milele kuna mambo mengi yanamfanya mwanamke aridhike nje ya tendo la ndoa, wengi tumezamia huko tukifikiri eti ndo njia nzuri ya kumkamata mwanamke la hasha, na haya mabo ya vibamia au mihogo imekuja miaka hii sio kwamba zamani hakukuwa na wanaume wenye vibamia ila wanaume walikuwa wanajua kutimiza majukumu yao kiasi kwamba iliwafanya wanawake waridhike na mambo kama vibamia na mihogo yakawa madogo tu ilikuwa ni kiasi cha kuvumilia leo hii tunahangaika na mambo hayo ya vibamia na mihogo kwa sababu wanawake hawaridhiki na mengi kwa hiyo kipimo cha kuridhika kimebaki kwenye tendo la ndoa

Wanawake wamejikuta wakiwa na mlolongo wa wanaume kwa sabab tu ya kutafuta mwenye muhogo wa ukweli maana huwezi kuuona mpaka muwe faragha, na wanaume wakihangaika eti kutafuta walio tight kwani kwa asiye taiti humwagi? wengine sasa ndo wanahangaika na dawa za kuongeza urefu na unene wkt kuna wanawake hawatak hizo oversize, ridhika tu na ulivyoumbwa kama ni muhogo au kibamia utapata atakayeridhika cha msingi ubunifu ndo maana waswali wanasema utamu wa pipi ni mate yako, msihangaike sana hayo ni ya Mungu kugawa muhogo au kibamia, kavu au yenye maji

 
Back
Top Bottom