Fuatilia kipindi maalum cha "hamza kasongo on sunday" na katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru leo saa 5:45 TV E

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
TAARIFA.

Leo tarehe 6 Oktoba, 2019 saa tatu na robo usiku (03:15) Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM atakuwa na kipindi maalum cha "Hamza Kasongo on Sunday" katika Channel ya TV E inayopatikana ving'amuzi vya Azam namba 116 na Star times namba 115.

Karibuni sana kufuatilia

Imetolewa na;
CHAMA CHA MAPINDUZI
OND- LUMUMBA.
IMG_20191005_201851_121.JPG
 
Nakumbuka sana mahojiano bora katika siku za karibuni kati ya Tido Mhando na Col Kinana
 
Back
Top Bottom