ninachofahamu mimi ni kwamba,hiyo ni package ya ting na unaweza ipata bureeee ukiwa na receiver ya mpeg4 na dish ya ku na unaifunga katika angle ya dstv yaani 36'E,hapo utapata itv,eatv,capital,ch 10,tbc,sta tv,clouds tv,mbc,setanta na nyinginezo kaka,nadhani hapo nitakuwa nimekusaidia