Umeshiba zako mihogo halafu unakuja kumtathimini mwalimu?Huyu kocha NI tapeli utafika muda ukweli utajulikana huyu Jamaa Hana hadhi ya kufundisha Simba au Yanga ,wanayanga tunalijua Hilo sema tunajikaza Tu ila hatuna Imani na huyu coach
Just wait time will tell,, kama hivyo hivyoUmeshiba zako mihogo halafu unakuja kumtathimini mwalimu?
Mbona makasiriko tena na team inashindaUmeshiba zako mihogo halafu unakuja kumtathimini mwalimu?
Hana hadhi ya kufundisha Tukuyu Stars, Ndada fc, yanga fc etc.. Simba usiitaje maana ipo kwenye rank za UEFA huko pamoja na akina Psg.Huyu kocha NI tapeli utafika muda ukweli utajulikana huyu Jamaa Hana hadhi ya kufundisha Simba au Yanga ,wanayanga tunalijua Hilo sema tunajikaza Tu ila hatuna Imani na huyu coach
Kwa kushinda 6 dhidi ya de Agosto ndo mseme Mna hadhi ya juu,huna. Ata aibu umeshiriki CAF zaidi ya mara 5 umeishia robo fainal,Una kikombe Ata kimoja cha CAF confederations au champion??huna Ata aibu kolo wewe,mnarecord gani ya kuja kujivunia zaidi ya kufungwa na Yanga mara 5 mfululizo,huna cha kuongea chochote mbele ya Yanga sembuse CAF Kwa wanaume, shame on youHana hadhi ya kufundisha Tukuyu Stars, Ndada fc, yanga fc etc.. Simba usiitaje maana ipo kwenye rank za UEFA huko pamoja na akina Psg.
Anadharau mke wake kisa jirani kaleta mke mzuri kuliko wakeπMbona makasiriko tena na team inashinda
Mbona taarabu utafikiri khadija Koppa ft Nasma Hamis KidogoKwa kushinda 6 dhidi ya de Agosto ndo mseme Mna hadhi ya juu,huna. Ata aibu umeshiriki CAF zaidi ya mara 5 umeishia robo fainal,Una kikombe Ata kimoja cha CAF confederations au champion??huna Ata aibu kolo wewe,mnarecord gani ya kuja kujivunia zaidi ya kufungwa na Yanga mara 5 mfululizo,huna cha kuongea chochote mbele ya Yanga sembuse CAF Kwa wanaume, shame on you
Ohooo.Chama langu la CFFA msiniangushe
Tuinueni mashabiki.
Yanga ni timu ya kawaida sana, pigeni hao bao za kutosha.
Timu yao ni nzuri tu ila hata wa kifunga 10 wananuna tuπKile kipigo cha Simba 2 kwa 1, ni wanayanga wamesahau furaha waliyoipitia,,
Timu yenu ipi Mkuu?Team yetu inakimbiza mnooo
Mpeni mudaHuyu kocha NI tapeli utafika muda ukweli utajulikana huyu Jamaa Hana hadhi ya kufundisha Simba au Yanga ,wanayanga tunalijua Hilo sema tunajikaza Tu ila hatuna Imani na huyu coach
Wanachoshindwa kuelewa watani ni kwamba Yanga haiwezi kuwa kama Simba na Simba haiwezi kuwa kama Yanga.Ama kweli kipato huleta majivuno. ππ
Yaani mtu aliyekufunga miaka nenda rudi leo hii kisa umemfunga vigoli viwili basi umeshamdharau hadi basi. Lol