FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

Kwamba weupe wanasisimua? 😃
😅😅😅, Hapo mbape akishika mpira unasikia diat anamuambia achana na huyu mkoloni alikutesea babu yako cameroon.

Weupe wapo agressively sana linapokuja suala la bendera.
Weee beki zote black pamoja na kipa black
Middle black
Fowad black.

Hao ni waafrica waliochangamka hakuna kitu hii mechi
Draw au senegal to win
 
Senegal wakitulia pale Kati pamoja na kule Kwa Ismaila Sarr wanaweza kufanya kitu, maana first half full backs za Senegal zimefanya Kila kitu kinachopaswa kufanywa na beki za kisasa, Changamoto Inakuja kule mbele, wale viungo wao hakuna anaye sogea juu Kwa haraka wakiwa kwenye transition yaani Senegal Kwa ufupi wanakosa namba kumi mzuri.
 
Back
Top Bottom