Wangekuwa waarabu tungekuwa tushatiwa aibu wa africa,team kama tunisia muda huu ishabamizwa goli 3Huu mpira wanaopiga Senegal hapa ni mkubwa sana.
Wangekuwa waarabu tungekuwa tushatiwa aibu wa africa,team kama tunisia muda huu ishabamizwa goli 3Huu mpira wanaopiga Senegal hapa ni mkubwa sana.
Jana tumechapika vibaya sana. Timu zimekuja tofauti na tulivyozoea aiseeSisi wakamaria tuna presha tu lost jana na leo kweli??
Sio hojaSenegal anapigika. Ufaransa wana kila kitu kizuri, Olise, Mbappe, Dembele.
Wakamaria hii game wameipa GG kwa over 1.5Jana tumechapika vibaya sana. Timu zimekuja tofauti na tulivyozoea aisee
Hajuhi mpira huyo.Sio hoja
Wangekuwa waarabu tungekuwa tushatiwa aibu wa africa,team kama tunisia muda huu ishabamizwa goli 3
Wawekezaji ni milio tu inasikikaWakamaria hii game wameipa GG kwa over 1.5
Mpaka sasa sioni dalili ya GG
😅😅😅 Mpira wa Africa umekuwa mkuu.Haaa haaa France imepaki basi
Morocco ovarated tu mkuu, anacheza na brasil mchovu aliyejichokea simba mzee.viki kuhusu Egypt na Morocco?
Hii game kama sio draw basi Senegal wanaibuka kidedeaHajuhi mpira huyo.
Jana spain walikuwa na mkoko wote kikawa wapi?
this time team za africa zime improve sanaUfaransa wanaomba poo
Morocco ovarated tu mkuu, anacheza na brasil mchovu aliyejichokea simba mzee.
Egypt jana wasingejifunga tungekuwa na point 3 daah
France wanataka kulipa kisasi.Hii game kama sio draw basi Senegal wanaibuka ea
Nakubaliana na wwthis time team za africa zime improve sana
sitaki mjadala ila morocco hamna kituHakuna team ya Afrika inaifikia Morocco labda Senegal kidogo
Sema kabisa waarabu wenyewe ni Tunisia na LibyaWangekuwa waarabu tungekuwa tushatiwa aibu wa africa,team kama tunisia muda huu ishabamizwa goli 3