DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa mwisho wa Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco. Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Stade Prince Moulay Abdallah, kuanzia saa 1:00 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Stars wanaingia katika mchezo huo wakiwa na alama moja (1) waliyoipata baada ya sare ya mabao 1–1 dhidi ya Uganda. Hata hivyo, wanakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Tunisia, ambayo kwenye mchezo wake uliopita ilipoteza kwa mabao 3–2 dhidi ya Nigeria (Super Eagles).
Swali kubwa linabaki: Je, Taifa Stars wanaweza kutoboa na kupata matokeo chanya mbele ya Tunisia?.
Kikosi cha Tanzania dhidi ya Tunisia
Kikosi cha Tunisia kinachoanza dhidi ya Tanzania