Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,378
- 5,589
Nimeingia live score game ipo 0 0 vip Azam anaionyesha?
Azam sports 1 HDNimeingia live score game ipo 0 0 vip Azam anaionyesha?
Kwani huwajui dada zetu wanavyojiachia kwa ngozi nyeupeEeeeh!.
Hii Taifa stars mbona naona shombe wengii!?
WAmetoka wapi hawa!?
Ila huyu kipa aisee nimempenda bure🙏🙏.Watoto wa wajomba waliozaliwa UK
Mushaanza kulia nyau,...... ngozi nyeusi kila mahali inahisi ina nyanyasika tu.Karefa dizaini flan kanataka kututoa mchezoni .....
Ni kama lazima "whites" washinde ivi....
Kibu anaruka ruka tu wamtoe.Okay Halftime, tumecheza vizuri kusema kweli sasa sijui ni Bulgaria vilaza au sisi tume improve. Ila Kibu kazingua ile ilikua chuma ile..
Aamin aamin
anazngua sana .Kibu Denga sio mchezaji, abaki kua mgeni rasmi tu.
Alikuwa mgeni rasmi, Tulalip mkono wa nyani dhidi ya Utopolo.Kibu Denga sio mchezaji, abaki kua mgeni rasmi tu.