Hapa kuna watu wenye nadharia mbili
1)kuna watu wanaohisi kuwa watu wote wanaotoka bara la ulaya watu wanadhani ni wazungu kitu ambacho sio
2) watu wote wenye ngozi nyeupe watu hudhani ni wazungu kitu ambacho sio
Wazungu wanakuwa na sifa zao kama vile macho, nywele, ngozi, n.k
Ila navyojua mimi warusi japo wanatokea ulaya lakini sio wazungu
Nimeuliza kuhusu matokeo ya full time ndio lilikuwa swali languSasa ile timu inaburuza mkia ligi ya Dubai imewapiga Kwa kidude, hawa waliokwenda vacation Dubai mmetoka mbili mbili hulioni tatizo hapo?
Mzungu ni nani?Russia ni wazungu [emoji23][emoji23]kweli mbumbumbu ni kipaji
Hilo ni kweliKwa taarifa yako kwenye kamusi ya kiswahili hakuna neno mzungu,bali ni msamiati au msimu tu wa mtaani ambao umekuwa maarufu tangu zama za ukoloni,ukimaanisha mtu mwenye rangi nyeupe kutoka bara ulaya..wazee wetu hawakuwahi kujua kutofautisha macho wala nywele kama unavyosema wewe.
Wao kwao muhimu awe mweupe na anatoka ughaibuni basi ni mzungu tu.
Kwa hyo since urusi iko ulaya tena mashariki basi warusi kwa mujibu wa neno mzungu basi wao pia ni wazungu.
Nashangaa sisi mashabiki wa Simba! Hapo amelaumu kocha wakati ni mgeni na anataka kuona uwezo wa kila mchezaji ili ajue awatumie vipi. Mechi za majaribio sometimes unaweza kubadili hata timu nzima. Kwenye ulalamishi sisi Simba tunaongoza.Mkuu kwani kazi ya kocha ni nini?kwa hyo mnataka hao kina nyoni wawekwe mechi za maana au sio!!??hapa anawajaribu awaone uwezo wao,ndo maana ya mechi za kirafiki kila mtu anacheza..acheni ushamba wa kudhani kila mechi mnataka kushinda tuuu mbona iko wazi hizi ni mechi za majaribio tu.
Hilo ndio swali la msingi. Mwache apuyange ila ajibi swaliNimeuliza kuhusu matokeo ya full time ndio lilikuwa swali langu
Basi tulia huu ushauri wako wapatie viongozi wako wa utopolo waachane kucheza mechi za kirafiki na mbuni fc
Simba kwa miaka hii mitano ya mafanikio ilijikusanyia kundi kubwa sana la mashabiki wajinga wajinga.Nashangaa sisi mashabiki wa Simba! Hapo amelaumu kocha wakati ni mgeni na anataka kuona uwezo wa kila mchezaji ili ajue awatumie vipi. Mechi za majaribio sometimes unaweza kubadili hata timu nzima. Kwenye ulalamishi sisi Simba tunaongoza.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app