FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

Boli litapigwa Wallah,
1768757873310.jpeg
 
AFCON 2025 Final Preview:

Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal

Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira ya saa 4. Wenyeji na waliokuwa vinara kabla ya mashindano kuanza, Morocco, watakutana na mabingwa wa hivi karibuni Senegal, ambao walimaliza kiu yao ya muda mrefu ya taji chini ya miaka minne iliyopita.

Mungu Ibariki Senegali
 
Back
Top Bottom