FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Phiri na Kanute watoke nje, weka Baleke na Luis.

Lakini zaidi, Simba hawajitumi, tatizo ni nini?

Wanacheza kifaza mnoo.
Ukisema hawajitumi sidhani kama ni sahihi. Kwa uharaka unaona miili ya wachezaji imekosa 'Sharpness' kwa kukosa mechi za kimashindano muda mrefu.
Lakini, naamini hii mechi Simba anapata matokeo.
 
Wazee wa Propaganda...yani mnacheza mpira mdomoni mnajiona kama kam vile PSG.......Utopwoloooo
 
UZI HUU UTABAKI KUWA FIMBO KWA UONGOZI NA MASHABIKI WA SIMBA.

 
Babu tulia....
 
Simba Hii ROBERTNO mbona ipo SLOW....
 
Kiukweli hii timu yetu haichezi mpira wa kuridhisha, wachezaji hawajitumi, hakuna mbinu zozote zinazoonekana, kocha amekalili wachezaji na kusababisha wachezaji wengine wasijue wamesajiliwa kwenye timu kufanya nini.

Simba ina wachezaji wazuri endapo wataamua kujituma, haijarishi kocha atakua vipi ila uwezo wa wachezaji unaweza kuibeba timu. Wabadirike

Hii timu inaumiza sana.

Navaa viatu vya Mo dewj.
 
Tuendelee tulipoishia...
 
Ni uzi wa kishamba tu
 
Huko Rwanda vipi waarabu weusi wana njaa?...
 
Kwa uwanja wa chamazi ulivyo mdogo timu pinzani ikimua kukaza kuondoka na suluhu ni rahisi tu, yaani Simba kupata 2-0 Chamazi ni kimbembe japo inawezekana, hapa Simba aongeze kujituma tu juhudi na kukimbia saana nadhani tunamaliza hapahapa
Hamna kujituma zaidi ya hapo, Simba hapo ndo uwezo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…