Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,324
Chama zungusha hapo
Simba hafi chini ya goli 2 hapo, mimi nategemea Simba anagongwa 3 bila.Hili ZEGE leo linalala hivyo hivyo 1-0 Simba hapa bar hawana furaha
Ndo uwezo wao ulipofikia hapo, hii timu ya Simba ni mbovu, inakuzwa na viongozi wa timu yao tu.Watani leo mmekuaje, mbona mnamuacha adui acheze golini kwenu
Utajua baadae..kwani mbona una hasira mwana utoIli iweje? Wapi? Utasema nn
Timu ni mbovu mno yaani ya kawaida tu inakuzwa na maneno ya mashabikiNdo uwezo wao ulipofikia hapo, hii timu ya Simba ni mbovu, inakuzwa na viongozi wa timu yao tu.
Umesema 3-0 Simba anakufa?Ndo uwezo wao ulipofikia hapo, hii timu ya Simba ni mbovu, inakuzwa na viongozi wa timu yao tu.