Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.
Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda.
View attachment 3519672