Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,912
- 12,988
Kumbe mlimalizana nao mapema
Picha ya zamani hiyoKumbe mlimalizana nao mapemaView attachment 2421302
Hapana Yanga huwa hatuna sababu za kitoto kama waoKumbe mlimalizana nao mapemaView attachment 2421302
la nne huko, bado hujazirai?Mkuu mbona comment yangu tu ilionyesha niko upande gani! Ni raha ya lugha unasema Y kumbe unamaanisha Z.
Nilikuwa nawakumbusha juzi mlivyosema.
Aaaah jamani Leo tunamkataa tuliyekuombea hadi uraia? Siyo feaKibu alikuwa anatunyima sana ushindi.