Tena kwa kubebwa.Simba wameshukuru mpira umeisha
Huna kiungo ndgMashabiki Wenzangu Wa Simba Msijali Huu Ubingwa Bado Ni Wetu...Wale Yanga Pumzi Imeshakata
Punguza hasira mkuuSimba imekuwa ya kisenge!!!
Kocha toka MadradaSimba imekuwa ya kisenge!!!
Huo ndio ukweli wamelemewa sana mwishoniSimba wameshukuru mpira umeisha
Hata hivyo makolo kwahiyo pointi wanaongoza ligiMashabiki Wenzangu Wa Simba Msijali Huu Ubingwa Bado Ni Wetu...Wale Yanga Pumzi Imeshakata
Na ubingwa watachukua, hahaaaaMakolo mmepata pointi moja mnaongoza ligi
Utapakatwa we jichekeshe chekeshe tuMakolo mmepata pointi moja mnaongoza ligi
Sahihisha kidogo hapo ChifuKuna uwezekano mwaka huu Wananchi wakatangaza ubingwa huku wakiwa nyumbani wanakunya juice
mbeleko fcTena kwa kubebwa.
ChukuaAzam wamekaa na point 3 zetu kwa muda mrefu sana ngoja leo tukazichukue
Mechi inayokuja wajipange kukabidhiwa kombe laoNa ubingwa watachukua, hahaaaa
wachezaji wengi hawana utulivu wakipata mpira wanajipigia kina mhilu ni kuwatoa kwa mkopo ni wachezaji wazuri wa kuchezea timu ndogoSimba wanakosa utulivu wanapoteza mipira kirahisi sana
Una ukimwii wa zamani!!!?Utapakatwa we jichekeshe chekeshe tu
Yani Simba ana bahati hajafungwa maana hamna alichocheza.