FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo wa ASFC

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa bao moja kwa bila na kutinga fainali dhidi ya Azam FC.

ASFC, FT: Simba SC 1-0 Azam FC

..... Ghazwat
 
Huyu refa huyu!!! Mbona kama amewapa advantage Mbumbumbu fc!!! Alitakiwa awe fair bhana!!! Watu hawajajipanga, yeye anaruhusu wauza ice cream kufungwa kizembe hivi!!

Inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…