Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,509
- 132,962
Yap hili ndo la muhimuKwanza Simba wapate hata goli moja ama mbili hivi ili kubalance presha game ya home kwenye agligate.
Yap hili ndo la muhimuKwanza Simba wapate hata goli moja ama mbili hivi ili kubalance presha game ya home kwenye agligate.
0-0.Hivi wametokaje leo?
Nyie mlijipiga risasi wenyewe....mgecheza game ya coastal union...wiki mbili bila competitive game ni tatizo.
Sio mimi MkuuNyie mlijipiga risasi wenyewe....mgecheza game ya coastal union...wiki mbili bila competitive game ni tatizo.
Hakuna kitu kama hicho!Hawa watakuja kuwafunga na hapa nyumbani .
Tulia wawanyooshe na ndio mwisho wa Simba hapo.Yaani mnafungwa na timu inayoshuka daraja?Hawa jamaa wanapiga pasi na mipira mirefu.Sasa sisi tumezoea pira biriyani shida iko hapo tu.Wangetuliza mpira chini mbona wachache sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Fatilia hoja zangu humu jF,sijawahi kumsifia Mugalu.Siku zote nimekuwa kinyume sana na mashabiki wenzangu wa Simba Sc.Kaka huyu si mnasifiaga anajua kukaa na mipira leo hii garasa.....daaah sio fuleeeeeeshiiiii kabisa [emoji3][emoji3]
Leo mnapigwa 3-0 au 4-1.Hakuna kitu kama hicho!
Kanunue sanda utangulie kaburini mkia weweNimepewa hela na Dingi nikalipe bili ya maji nikatandaza mkeka kwa Simba,sasa yule mzee namwambia lugha gani anielewe?,ni Brigedia mstaafu wa jeshi na leo asubuhi alikua akiifuta futa vumbi bastola yake,,,!!
Mkuu nakuahidi simba wakishinda game hii nakutumia msimbazi. Wallah tena.usikimbie kaa humu humu mpaka mpira uishe
tulia wewe utopolo@okwiboban sikia hiyo, mungu mkubwa nasema
Bora wewe mkuu.
Leo TMA imeingia chaka
duuh,leo tumepatikana