sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Bao la nne kocha anacheka kwa madharau
Nadhani aligundua Simba ni taka ngumubao la nne kocha anacheka kwa madharau
Kumbe wewe n barrobaro ...ndio Maana kwenye kwenye Siasa uanshabikiaga utopolo!Nimepewa hela na Dingi nikalipe bili ya maji nikatandaza mkeka kwa Simba,sasa yule mzee namwambia lugha gani anielewe?,ni Brigedia mstaafu wa jeshi na leo asubuhi alikua akiifuta futa vumbi bastola yake,,,!!