OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,234
- 103,867
Anahusika vipi na klabu ya Simba?Atuta muangusha JPM
Wame improve sana kutoa sare.Maana nilitarajia watapigwa. Timu waliyocheza nayo iko juu kwenye msimamo wa ligi
Hufatilii soccer la TZ Hususan SIMBAAnahusika vipi na klabu ya Simba?
Sawa dada mvaa vjora na madela. Ni VIZURI TRH 15 Wachanganye vyote. Walau watatupa UDHINDANI. Otherwise TUNAWAPIGA ZAID YA MOJA HUKO HUKO KWAOKikosi cha pili hiko
Hili ni tatizo la kuleta siasa za ccm kwa club ya Simba.Atuta muangusha JPM
waliwakosa kwa sababu gani,mbali na Khama majeruhiKwenye mchezo wa jana waliwakosa wachezaji wao wanne wa Muhimu ambao ni majeruhi;
Khama Billiant, Eric Mathoho, Lebohang Lesako na Njabulo Blom
Kaizer Chiefs line-ups vs Swallows:
Chiefs: Bvuma, Mphahlele, Cardoso, Ngezana, Zulu, Katsande, Parker, Baccus, Mashiane, Manyama, Castro.
Subs: Akpeyi, Moleko, Agay, Frosler, Ngcobo, Ntiya-Ntiya, Zuma, Nurkovic, Kambole
Bado hujajibu swali, huyo uliemtaja anahusika vipi na Simba?Hufatilii soccer la TZ Hususan SIMBA
Simba kweli mlikuwa mmebweteka.....mnajipaga promo mpàkà sii poa yaanUzi umetelekezwa huu