Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,378
- 3,143
PIGA KENGE HAO WEKUNDU
ths is a very big thng kwa yanga kwa watu wanaojua mpira.Nilikuahidi kukurudia baada ya full time.
Sasa sisi wana Yanga tuna furahi kwa hiki hapa, wewe endelea kujifarijiView attachment 3533954
Sisi tulishakubali team hakuna msimu huu.Acha kujikosha timu hauna umejiandaa kisaikolojia wapi wakati unaumia sana mwenzio ana point 4 wewe unaendelea kuwa na 0 huku ukiumia roho
😂😂😂😂😂😂 poleeee wee.Jiandae kuwa Mzalendo kushangilia Yanga maana utaenda kufanya maajabu na kuishangaza Africa na Dunia kwa ujumla mwaka huu .
Mokaolo tunawapokea kutushangilia
Young Africans aka Pdidy wa makoloSisi tulishakubali team hakuna msimu huu.
Sijui nyie Barcelona ya Kulipia kidogo kidogo.
😂😂😂😂
Mme pididiwa na waarabu juzi na hata shahawa hamjazikamua, bado uko kuswampa hapa.Young Africans aka Pdidy wa makolo
Yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa group
Na Kuna uwezekano mkubwa tukaongoza kundi
Mambumbumbu wao Jana walienda Tunisia wakiwa wamevalia shanga
Vipi nyie wagawa utamu mshazoea?Mme pididiwa na waarabu juzi na hata shahawa hamjazikamua, bado uko kuswampa hapa.
Em kaoshe kinyeo hiko, Lol
Weka Bondi chochote chako cha thamani kama Yanga hii isipofika nusu fainali . Mimi namuweka mchumba yangu Dada yake Mcmillan de Maghayo The Mongolian Savage ambaye kiuno chake ni loose Nut😂😂😂😂😂😂 poleeee wee.
😆Weka Bondi chochote chako cha thamani kama Yanga hii isipofika nusu fainali . Mimi namuweka mchumba yangu Dada yake Mcmillan de Maghayo The Mongolian Savage ambaye kiuno chake ni loose Nut
Nipo braza, mambo
Kundi limeshakua ngumu tayariAisee ule mpira niliuona kwa Stade malien vs Simba, yaani ndio hawa ndio wanaifunga Petro Attletico goli mbili? Duh hili kundi lina vituko haswa
Simba akifungqwa tena kwa Mkapa na Es Tunis, itakuwa ni baba jeni bai baiKundi limeshakua ngumu tayari
Shida ni viongozi wa Simba, wameleta kocha mpya badala ya kumpa muda akae na timu wanaipeleka kwenye michuano ya ndondo mapinduzi cup hivi kulikuwa na ulazima gani?Rushine ☆☆☆☆
Morice wasingemtoa ☆☆☆
Chama sijaona kitu☆☆
Kibabage anajiangusha sana ☆☆☆
Kapombe 😂 hamna kitu waachanr nae ☆☆
Gueye 🔥 ☆☆☆☆
Kipa save nzuri sana ☆☆☆
Sowah kurukaruka tu hana maajabu ☆☆☆
Mpanzuu hakupiga hata dribble ya maana ☆☆☆
Counter attack hazimaliziwi hawana muunganiko mzuri .
Poor performance ever
Shida sio kocha shida mentality
Matola akaepembeni mchango wake hauna msaada wowote
Kuna haja gani ya kumweka matola kama kocha msaidizi ?? Huyo ndio anafelisha timu anaweka mbinu zilezile za matola wanasahau mbinu za kocha mkuu pantev ndio aliyakataa hayo wakampiga pangaShida ni viongozi wa Simba, wameleta kocha mpya badala ya kumpa muda akae na timu wanaipeleka kwenye michuano ya ndondo mapinduzi cup hivi kulikuwa na ulazima gani?
Aibu ni kiswahili cha mkoa Mara kama sikosei.Haibu ❌
Aibu☑
Na hatimaye Simba kaaga mashindano mapema kabisaKundi limeshakua ngumu tayari