FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

Ila CAF Champion League Mwaka huu ni ngumu kwa timu nyingi sana. Matokeo ya droo yametawala sana mashindano haya. Kwenye hii chati unaona jinsi rangi ya chungwa ilivyotawala ingawa kuna timu moja tu ina nyekundu tatu haina chungwa wala kijani.

 
hio timu yenye nyekundu tatu kesho inaenda kupata rangi ya kijani moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…